Nipo safarini mkuu.........Nafurahi kupata updates toka kwa wadauMkuu B leo upo ukweni?
Mkuu una haraka ya nini?Kibao kimegeuka Yanga 2 na Ruvu 2 (Heri uwe nyuma alafu ukaitwa mbele, kuliko uko mbele alafu uitwe nyuma)
Hivi mia ndio kitu gani?
Asante sana figganigga kwa updates....mia
Mkuu una haraka ya nini?
Yanga 3-2 Ruvu Shooting
upo faster ku-respond, nilikuwa nimekosea kitendo cha ku-edit tu kumbe mdau ulishafanya proof reading, nilisha edit juu
ametoka jerry tegete na kuingia hamis kiiza.
*MAN U 3 - 1 STOKE.
*SOFIA SIMBA MWENYEKITI CWT.
*ANNA KILANGO ANALIA.
*YANGA 3 - 2 RUVU.mia
Star tv mmeniangusha sana leo
ametoka jerry tegete na kuingia hamis kiiza.
*MAN U 3 - 1 STOKE.
*SOFIA SIMBA MWENYEKITI CWT.
*ANNA KILANGO ANALIA.
*YANGA 3 - 2 RUVU.mia
Za wapi hizo dakika 5, za Taifa, ManU au kwa Kilango?Mwamuzi anaongeza dk.5 mia