Wanachonifurahisha Yanga hata wakomaliwe vipi huwa hawahitaji mchezaji wa team wanayocheza nayo atolewe au wapewe penalt ndo waweze kutia kibindoni point 3 zao,hongera sana Yanga.
Wanachonifurahisha Yanga hata wakomaliwe vipi huwa hawahitaji mchezaji wa team wanayocheza nayo atolewe au wapewe penalt ndo waweze kutia kibindoni point 3 zao,hongera sana Yanga.
Matokeo haya hapa chini hapo jana Jumamosi yalinifurahisha sana....
1. Yanga 3 Ruvu Shooting 2
2. Liverpool 1 Reading 0
3. Messi's hat-trick kwenye La Liga. Huyu bwana mdogo sasa amebakiza magoli 4 tu hadi end of 2012 kuifikia rekodi ya Pele ya mwaka 1959 ya kufunga magoli 75 in a calendar year!
Awesome achievement!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.