Yanga v/s Ruvu shooting Live National Stadium

Yanga v/s Ruvu shooting Live National Stadium

kavumbagu kachezewa vibaya nje ya 18. anapiga nionzima na kupata kona. mia
 
twite amefunga goli dakika ya 20 kutoka nje ya 18. mia
RUVU 2 - YANGA 1. mia

naam!! kumbe Mbuyu Twite ni Striker na siyo Defender ndiyo maana ukuta wa Yanga ni lojolojo, dk 20 umeisharuhusu goli 2!!!!!
 
azobata azokite ya yanga inawapa hali ngumu Ruvu hadi benjamin haule kapata maumivu baada ya kuzua ule mpira alopiga nionzima. mia
 
Yanga wanarowa maji ya Mto Ruvu naona tehtehteh
 
tangu yanga ifunge goli ruvu hawaelewani sababu wanakoswakoswa sana. mia
 
mpaka mwisho nafikiri yanga itashinda 4 ruvu 2,ruvu wameshachoka
 
star tv wamekojolea kipindi cha mpira. mimi naondoka. ntarudi kuwapeni matokeo ya jumla.bye!. mia
 
dakika ya 36 jerry tegete anaifungia yanga goli la pili.
RUVU 2 - 2 YANGA. Nimerudi tena. mia
 
Leo mechi ni nzuri tutakuwa uwanjani masaa machache toka sasa tukishuhudia pambano jepesi kwa Yanga,ikishinda leo basi ubingwa jangwani mana lazima mnyama Simba apakatwe pale ccm-kirumba na sokoine-mbeya raundi ya pili,tutakuwa tunapeana matokeo mechi ikianza,cjui kama star tv watakuwa hewani

mpira sio mauzo ya nyanya,acheni mdomo kuliko uwezo wa timu.
 
yanga wamekosa goli la 3 baada ya kavumbagu ya kumpa pasi tegete na tegete kaleta mapozi ya kupiga kistaa kipa akadaga. ni kosa kubwa kuremba wakati watu wanataka ushindi. mia
 
Yanga 2 Ruvu 2,huyu twitte,niyonzima na kavumbagu ndo nyota leo
 
Back
Top Bottom