Yanga v/s African Lyon

Kavumbagu kafunga Yanga 3 Lyon 0
 
Saimon Msuva anatoka anaingia Nizar Khalfan
 
Kavumbagu kaambaa na mpira katumbukiza kati Nizar kaukosa
 
Said Bahanuzi anapasha misuli
 
yangaaaaaaaaaaaaa safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, sijui kwani maccm yalichukua rangi ya timu yang wakati siyapendi!!!
 
Leo dimba la kati limeshikwa vilivyo na Domayo, Chuji wakishirikiana vilivyo na Haruna Niyonzima
 
Dk.35 Nizar anafunga akipokea pasi toka kwa Said Bahanuži
 
mmmhh leo lioni kazi wanayo naona hadi baamedi..
 
Hamis Kiiza katoka kaingia Said Bahanuzi
 
Pengo la Mbuyu Twitte kwenye kurusha na kupiga faulo linaonekana mashuti yake yale balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…