Yanga v/s African Lyon


We, kweli kiyanga yanga. Umetaja kikosi chako2, mbona Lyon uja kitaja kikosi chao?
 
Refa kachemka vibaya mno kapuliza kipenga kanakwamba Kiiza kaotoa kumbe kulikuwa kuna beki mbele ya Kiiza
 
Tegete kwa mara ingine tena anapoteza nafasi ya wazi kabisa
 
mamaaaaa kavumbagu karudi tena kuroga maana tegete anataka kurudi taifa..
 

kuwa fair taja na kikosi cha African Lyon na ikiwezekana na waamuzi wanaochezesha leo
 
Mpaka sasa Tegete angekuwa ametupia 5
 
kuwa fair taja na kikosi cha African Lyon na ikiwezekana na waamuzi wanaochezesha leo

Mkuu pilau mi natangaza upande wa Yanga huo mwingine nimewaachia Simba wanao washangilia
 
Last edited by a moderator:
Haya kikosi cha Azam hiki hapa

1. Azam Ice cream
2. Azam Cola
3. Azam malt
4. Azam Uhai
5. Azam Milk Lollies
6. Azam Biskuit
7. Azam wheat flour
8. Azam Sembe
9. Azam Chapati Tayari
10. Azam Chocolate Ripple
11. Azam Yoghurt

Substitute:
12. Azam Marine
13. Azam Special Bread
14. Azam Rice
15. Azam Ball Cone
 
kuwa fair taja na kikosi cha African Lyon na ikiwezekana na waamuzi wanaochezesha leo

Ngoja nirudi Oman nitawatajia na cha Afrique Lioness. Nimemaliza cha Azam soon, eeeh....ngoja kwanza.., hivi Bakhresa hauzi pilau kweli...?
 
Last edited by a moderator:
Wazee wa Oman waliwafunga Lyon 3 wakajinadi kwamba sasa tutawakoma. Sisi leo tunapiga 5 tuoneshe tafauti ya Oman (tende halua), na Turkey (Ulaya Ulaya)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…