Yanga Tunakwama Wapi Kwenye hizi Ranking Za CAF.?

Yanga Tunakwama Wapi Kwenye hizi Ranking Za CAF.?

kovai tamil taiga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
1,569
Reaction score
2,189
Ni Kweli Ligi NBC ni Mabingwa..

Ni Kweli FA ya CRDB ni Bingwa...

Pale CAF zile ranking zinaeleweka ?

Tujionee wenyewe, Mnyama Yuko juu Hata ya Pyramids....! Mnazielewa hizo ranking.?
1. Al Ahly
2. Mamelod Sundown
3. Esperance de Tunis
4. Rs Berkane
5. Simba
6. Pyramids
7. Zamalek
8. Wydad
9. Usm Algers
10. CR Belouizidad
11. Yanga
12. Al hilal
13. Asec Mimosa
14.l
 
Subiri waje wakuletee list ya FIFA ya vilabu vitakavyoshiriki kombe la dunia la vilabu mwaka 2029 ambayo wao huko ni kama wasindikizaji tu, maana wako nafasi ya chini na hawana uhakika wa kucheza hata fainali ya klabu bingwa achilia mbali kubeba hilo kombe lenyewe kwa hiyo misimu mitano ijayo, anyway ngoja tuone msimu huu unaokuja kwenye hatua ya makundi klabu bingwa simba watapangwa kwenye pot namba ngapi na yanga watapangwa kwenye pot namba ngapi wala siyo mbali acha tusubiri
 
WhatsApp Image 2025-07-05 at 14.01.25.jpeg
 
Ranking za caf Zinatokana na points ulizovuna miaka/misimu mitano iliyopita, Simba kimataifa amekua consistent Kwa miaka miaka mitano iliyopita, miaka minne yote kaingia robo fainali..... Na hata huu mwaka kavuna point nyingi maana japo shirikisho Lina point ndogo ila kaenda mpaka fainali...... Ni swala na muda tu yanga nae akajitahidi atafika huko maana wao wanaangalia miaka mitano tu ya nyuma, Ina maana hata Al ahly akifanya vibaya mfululizo baada ya miaka mitano anaweza kutokuwepo kwenye hio top 10, hawaangalia historia zaidi ya miaka mitano nyuma....
 
Ni Kweli Ligi NBC ni Mabingwa..

Ni Kweli FA ya CRDB ni Bingwa...

Pale CAF zile ranking zinaeleweka ?

Tujionee wenyewe, Mnyama Yuko juu Hata ya Pyramids....! Mnazielewa hizo ranking.?
1. Al Ahly
2. Mamelod Sundown
3. Esperance de Tunis
4. Rs Berkane
5. Simba
6. Pyramids
7. Zamalek
8. Wydad
9. Usm Algers
10. CR Belouizidad
11. Yanga
12. Al hilal
13. Asec Mimosa
14.l
Ikikaa simba inatosha. Wacha Yanga iendelee tu kwa sasa kubeba makombe yote ya ndani.
 
Ni Kweli Ligi NBC ni Mabingwa..

Ni Kweli FA ya CRDB ni Bingwa...

Pale CAF zile ranking zinaeleweka ?

Tujionee wenyewe, Mnyama Yuko juu Hata ya Pyramids....! Mnazielewa hizo ranking.?
1. Al Ahly
2. Mamelod Sundown
3. Esperance de Tunis
4. Rs Berkane
5. Simba
6. Pyramids
7. Zamalek
8. Wydad
9. Usm Algers
10. CR Belouizidad
11. Yanga
12. Al hilal
13. Asec Mimosa
14.l
Msimu wa 25/26 Yanga itafika fainali klabu bingwa Afrika na kuwa ya tatu.....
Kuwa na uvumilivu kidogo!
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Yaani fujo zote Mtaani, Utopolo 10 bora hawapo?

Kwaiyo Kutokea hapo, Simba anatafuta kupanda nafasi za juu kuelekea nafasi ya kwanza...!

Wengine wanapigana kuingia kumi bora kwenye Ranking..!

One Giant in Tz will not start preliminaries...
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Ranking za caf Zinatokana na points ulizovuna miaka/misimu mitano iliyopita, Simba kimataifa amekua consistent Kwa miaka miaka mitano iliyopita, miaka minne yote kaingia robo fainali..... Na hata huu mwaka kavuna point nyingi maana japo shirikisho Lina point ndogo ila kaenda mpaka fainali...... Ni swala na muda tu yanga nae akajitahidi atafika huko maana wao wanaangalia miaka mitano tu ya nyuma, Ina maana hata Al ahly akifanya vibaya mfululizo baada ya miaka mitano anaweza kutokuwepo kwenye hio top 10, hawaangalia historia zaidi ya miaka mitano nyuma....
Wasipokuelewa hapa basi watakuwa na shida mahali.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Ni Kweli Ligi NBC ni Mabingwa..

Ni Kweli FA ya CRDB ni Bingwa...

Pale CAF zile ranking zinaeleweka ?

Tujionee wenyewe, Mnyama Yuko juu Hata ya Pyramids....! Mnazielewa hizo ranking.?
1. Al Ahly
2. Mamelod Sundown
3. Esperance de Tunis
4. Rs Berkane
5. Simba
6. Pyramids
7. Zamalek
8. Wydad
9. Usm Algers
10. CR Belouizidad
11. Yanga
12. Al hilal
13. Asec Mimosa
14.l
Hawa Arabs wamekaa pale juu 2029 wataenda FIFA CLUB WORLD CUP wakandwe honestly blacks huwa wanakomaa hawa Waarabu wajanja huku Afrika. Simba 2028 itakuwa Champion wa CAFCL Mangungu na Kanjibai hawatakuwepo tutakuwa na Boss anayeweka Pesa.Simba itakuwa na best players Kikombe kitakuja Tanzania ( Lakini kwenye ndoto)
 
Back
Top Bottom