Cognitivist
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 1,057
- 2,093
🤣🤣🤣🤣🤣simba wameshinda kwa fitina ya kupuliza hewa ya sumu kwa wachezaji wa vita ili wakose nguvu na CAF wamejua jiandaen kufungiwa milele
🤣🤣🤣🤣🤣simba wameshinda kwa fitina ya kupuliza hewa ya sumu kwa wachezaji wa vita ili wakose nguvu na CAF wamejua jiandaen kufungiwa milele
Kilichonishangaza hakugombea uongozi akaacha wengine wagombeeManji alizungukwa na wajanja wengi mno,simba mtu wa kumshukuru sana ni try again huyu kwangu namuona ndio km shabiki namba 1 wa simba kwa kuweza kusimamia mabadiliko ya simba pasipo kuweka maslahi yake binafsi tena kwa kipindi kifupi mno alichoiongoza simba,Yanga tuna kila sababu kipindi hiki kumpata kiongozi mwenye mapenzi ya dhati kututoa hapa tulipo,bila hivyo itatuchukua muda sana
Mkuu wengi awaamini lkn ilipo Yanga haipo pale kwa bahati mbaya,kuna watu wameifikisha pale,na tena ashukuriwe mwinyi zahera kwa uhamasishaji wake,lkn bila hivyo watesi wa Yanga walitaka iwe chini zaidi ya ilipo sasa,wachache sana ndio watakaokuelewaNitakuja na uzi wakukuonyesha yanga inavyohujumiwa na hao unao waabudu
Sent using Jamii Forums mobile app
kaka utani wetu wajadi uwe ndani ya ligi ya nchi. Lakini linapokuja swala la kimataifa tuwe wamoja. Kwa hatua simba ilyofika heshima ni yanchi kaka. Hata mimi yanga walipokua wanaiwakilisha nchi kimataifa niliwashabikia na siku furai walipovurunda uo ndio uzalendo kaka. Pia hata mimi napenda nione nchi ina vilabu vyenye nguvu africa. Tunashindwa na kongo? Kila mwaka wana timu 2 champions ligi wakati sisi tuko kwenye nchi yenye amani lakini tunashindwa kuwa na mipango mizuri kwenye timu zetu. Ifikie maali yanga. Simba. Azam wawe icon africa naiyo itawezekana kwa kuweka mikakati mizuri kwenye vilabu vyetu.Aisee nikweli nilishabikia As vita na hata akija nani Mimi siwezi shabikia Simba. Lakini kwa yanayoendelea kwa wenzetu natamani na sisi tufikie hatua ya kushare hisa ili tuwe watani kiukweli kweli lakini saizi mtani anatutesa balaa, kila tukiombea mabaya anatusua tu dah!!
Barafu la moto
Bila shaka wewe utakuwa vile vizee ambavyo mtoa mada alimaanisha visivyotaka mabadilikoNitakuja na uzi wakukuonyesha yanga inavyohujumiwa na hao unao waabudu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushindi wa mabao 2-1 walioupata Simba jana dhidi ya Vita Club umewapeleka robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika
Hakika wanastahili pongezi kwa mafanikio hayo
Watani zetu wametufundisha jambo kubwa sana, ili kuweza kufanikiwa tunahitaji uwekezaji wa fedha, akili, muda, hali na mali pasipo kukata tamaa
Kama Simba wangekata tamaa baada ya kupigwa zile dozi za tano tano sidhani kama wangekuwa na ubavu wa kushinda michezo yao miwili waliocheza nyumbani dhidi ya vigogo wa soka Barani Afrika
Lakini pia nyuma ya mafanikio hayo yupo mwekezaji wao Mohammed Dewji 'Mo' ambaye alimwaga fedha za kutosha kutengeneza kikosi ambacho leo kimewafanya waweze kutembea kifua mbele
Simba ndio klabu pekee kutoka ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kutinga hatua ya robo fainali ya michuano hiyo ya ligi ya mabingwa
Wana Yanga yatupasa kupambana juu chini kuhakikisha nasi tunafanya mabadiliko katika timu yetu ili tuweze kuwavutia wawekezaji walete fedha
Mpango huu wa kuchangia uliopendekezwa na kocha Mwinyi Zahera sio wa kudumu, utaisaidia Yanga kusimama wakati ikijiweka sawa
Mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji ndio kila kitu, kwani mabadiliko waliyofanya Simba tumeona jinsi yalivyokuwa na faida kwao
Uwekezaji aliouweka Mo katika kipindi cha misimu miwili kwenye klabu ya Simba umekuwa na faida kubwa kwake na kwa Simba pia
Kwa kutinga hatua ya robo fainali tu Simba itavuna zaidi ya Bil 1.5 fedha ambazo ni zaidi ya fedha walizotumia kukijenga kikosi chao(bil 1.3)
Ukiongeza na fedha walizovuna kupitia mashabiki ambao waliujaza uwanja wa Taifa katika michezo yote mitatu waliocheza jijini Dar es salaam pamoja na mauzo ya jezi, timu hiyo itakuwa imetengeneza fedha nyingi sana
Simba wametuonyesha kumbe haya yote yanawezekana, ukijipanga vizuri na ukafanya uhamasishaji wa kutosha unaweza kufanya mambo makubwa kuliko wengi tulivyokariri
Nani alitegemea kama Simba itaweza kuifunga Al Ahly, mabingwa mara nane barani Afrika? Al Ahly ambayo ilicheza fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika msimu uliopita
Nani alidhani kama Simba itapata ushindi dhidi ya Vita jana? Hawa Vita walicheza fainali ya kombe la shirikisho msimu uliopita
Simba haikupewa nafasi ya kupenya katika kundi D lililozijumuisha JS Saoura, Al Ahly na Vita lakini wamepita
Hivi kuna atakayeshangaa tena kama Simba itatwaa ubingwa wa Afrika? kwani hatua waliyofikia lolote linaweza kutokea.
Jambo la muhimu kwa Wana Yanga ni kupata somo kutokana na mafanikio haya. Kama hatua hazitachukuliwa, Yanga haiwezi kushindana na Simba katika nyanja zote.
Ni wazi msimu ujao huenda ukawa mgumu zaidi kupambana na Simba kwani watakuwa bora mara dufu kuliko walivyo sasa.
Sababu mpaka hapa walipofikia wameyajua mapungufu yao na tayari wanao ushawishi wa kumsajili mchezaji yeyote wanayemtaka kutokana uwepo wa fedha na mafanikio waliyopata
Itakuwa muujiza kwa Yanga yetu hii kushindani na wenzetu ambao kimsingi mpaka sasa wameshatuacha mbali sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu maendeleo ya mchezo wa soka hayana vyama.Pia ondoeni U- CCM pale klabuni kwenu. Manji, Kapuya,Ndugai,Makamba,Rage na wengineo wengi tu ni CCM, lakini huoni wakileta uchama wao Simba.
Nyie watu kama kina Mbowe mnawatenga kwa kuwa tu ni toka vyama vingine vya siasa mbali ya CCM.
Umesoma nilichoandika? Pale Makao Makuu ya Yanga mpaka leo kuna mabango ya Magufuli anagombea Urais, sasa shabiki wa Yanga ambaye ni mwanachadema anajisikiaje?Mkuu maendeleo ya mchezo wa soka hayana vyama.
Kila mmoja afanye siasa zake tukikutana kwenye ushabiki wa soka tuzungumze lugha moja.
Mkuu uliangalia mechi lakini?simba wameshinda kwa fitina ya kupuliza hewa ya sumu kwa wachezaji wa vita ili wakose nguvu na CAF wamejua jiandaen kufungiwa milele
Na kweli hata mchezo wenu na Lipuli mchezaji aliyefunga goli la ushindi ni mchezaji wa zamani wa Simba, Kocha wao ni S.Matola ni mwanachama wa Simba.Nitakuja na uzi wakukuonyesha yanga inavyohujumiwa na hao unao waabudu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka Simba ikifika nusu fainali,itawezesha timu nne za Tanzania kushiriki mashindano ya CAF,kwa chagueni tu kuwa wazalendo no way out.Aisee nikweli nilishabikia As vita na hata akija nani Mimi siwezi shabikia Simba. Lakini kwa yanayoendelea kwa wenzetu natamani na sisi tufikie hatua ya kushare hisa ili tuwe watani kiukweli kweli lakini saizi mtani anatutesa balaa, kila tukiombea mabaya anatusua tu dah!!
Barafu la moto
Na kwa Congo TP MAZEMBE ndio imeibeba sana Vita kuingia kupitia mgongo wake, na walipopata fursa nao Vita wakaitumia mpaka sasa nao ni wakubwa. Nasi tufanye hivyo. Simba yamga azam. Upinzani unakuwepo ligi ya ndani, ndio ilivyo kwa alina vita na mazembe.kaka utani wetu wajadi uwe ndani ya ligi ya nchi. Lakini linapokuja swala la kimataifa tuwe wamoja. Kwa hatua simba ilyofika heshima ni yanchi kaka. Hata mimi yanga walipokua wanaiwakilisha nchi kimataifa niliwashabikia na siku furai walipovurunda uo ndio uzalendo kaka. Pia hata mimi napenda nione nchi ina vilabu vyenye nguvu africa. Tunashindwa na kongo? Kila mwaka wana timu 2 champions ligi wakati sisi tuko kwenye nchi yenye amani lakini tunashindwa kuwa na mipango mizuri kwenye timu zetu. Ifikie maali yanga. Simba. Azam wawe icon africa naiyo itawezekana kwa kuweka mikakati mizuri kwenye vilabu vyetu.
CAF wana watachunguza, hizo tuhuma tu,, ikitokea siku ukaambiwa maneno mkeo kuna mtu anakuchukulia pia ufanye uchunguzi.simba wameshinda kwa fitina ya kupuliza hewa ya sumu kwa wachezaji wa vita ili wakose nguvu na CAF wamejua jiandaen kufungiwa milele