Yanga nawaomba msitishe mara Moja mpango wa kumleta Coach Rakotondrabe wa Madagascar

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,773
Reaction score
35,992
Kama mwanachama anguli wa Yanga, nawaasa acha mara Moja hata kufikiria kumleta Coach Rakotondrabe wa Madagascar kwenye timu yetu maana atafeli hata zaidi ya Folz

Mimi ni foundation ya coaching, sisi makocha tunajua ugumu wa coach wa national team kufanya kazi katika vilabu

Pili, Ogopa sana makocha wa tournament, sawa nakiri kuwa Rakotondrabe alionesha kiwango Bora kwenye mashindano ya CHAN ila binafsi simwani kama atafiti Yanga

Makocha waliofeli vibaya mno waliokuja Kwenye clubs naada ya kutoka national team

1. Luis Van Gal
Huyu alikuwa coach wa Netherlands, alivokuja pale Man United alipigwa hadi akachakaa

2. Luiz Phillipe Scolari
Huyu alitwaa world cup 2002 akiwa na Brazil, baadaye 2008 alijiunga na Chelsea ambapo alikaa tu miezi miwili na akafukuzwa

3. Joachim Low
Huyu Coach alitwaa world cup 2014, aliporudi kwenye Vilabu kila timu ilijipigia kama Ngoma ya kijiji

4 Marcello Lippi
Alitwaa world cup na Italy, lakini alikuja kufanya ovyo kwenye Vilabu mbalimbali

5. Thomas Tuchel
Huyu alifanya vyema kwenye club level ila Sasa anachemka pale England national team, lakini amepiga mwigi Maiz 05, Dortmund, PSG, Buyer Munich na akatwaa UEFA na Chelsea

Yanga tafuta Coach wa viwango sio Rakotondrabe
 
Hoja unayo bro. Usikilizwe.
 
Umetoa mifano halisi kabisa, ila hoja yako haina mashiko kabisa,
achana na mambo ya kiswahili swahili eti ooh! samaki mmoja akioza sijuw upuuzi gani! yani kufeli afeli van gal hukumu apate roro are you serious bro?
 
Mleteni huyo Coach utakuja kunambia
 
Uongozi wa Yanga umefanya makosa mengi sana msimu huu na ambao umeanza kuigharimu timu!
1. Umemumuuza Stephane Aziz Kii (nama 10 mchezeshaji), halafu wakamsajili Mohamed Doumbia ambaye ana kitu mguuni na kichwani, lakini anakosa match fitness! (Kwangu mimi namuona yuko slow sana).

2. Uongozi ulitakiwa umuongezee mkataba Khalid Aucho (kwa dababu kwa misimu kadhaa nyuma, alikuwa mhimili pale nyuma). Ila kwa kumdharau, wakaamua kumuacha aondoke na wakamsajili Mousa Balla Conte ambaye mpaka leo, ameshindwa kuwa mtithi wa Aucho! Badala yake Folz amuibua Aziz Andabwile, mchezaji asiye na kasi ya mchezo.

3. Uongozi umemsajili Andy Boyeli kama mshambuliaji wa kumpa changamoto Prince Dube! Bahati mbaya na yeye mpaka muda huu hana msaada kivile kwa timu.

4. Uongozi kukubali Miloud Hsmdi kuondoka ndani ya muda mfupi. Huyu kocha walitakiwa wamboreshee maslahi yake na hivyo kuhakikisha anabaki! Bahati mbaya ndiyo hivyo tena! Wakakubali aondoke, na wakaamua kumleta kocha mwenye CV nzuri ya kwenye makaratasi! Ila upande wa vitendo akaonekana si chochote, si lolote!

5. Uongozi (na hasa Injinia Hetsi na Ally Kamwe) kuihusisha timu na siasa za ccm, kana kwamba Yanga ni tawi la ccm! Hili ni kosa kubwa wamelifanya,na litawatafuna kwa muda mrefu.

Nini cha kufanya?
1. Baadhi ya hatua zimeanza kuchukuliwa. Mfano kumuondoa Romain Folz. Ila bado haitasaidia kitu.
2. Uongozi unatakiwa kupunguza mawenge ya kuachana na makocha kama Miloud Hamdi ndani ya muda mfupi.

3. Injinia Hersi na mdogo wake Alky Kamwe wapunguze kulewa sifa na pia kuifanya timu kuwa tawi la ccm.

4. Wanachama na mashabiki wa Yanga tunatakiwa kuwa wamoja kwenye kuiunga mkono timu katika kipindi hiki kigumu ili iweze kupita salama.

5. Wachezaji na benchi la ufundi likae chini na uongozi, na kuona ni wapi walijikwaa, na hivyo kupindua meza kwenye mechi ya marudiano.
 
Umenena vyema mkuu
Usajili Eng alipoteleza ni kumleta Boyeli awe mbadala wa Musonda, nao hata Bora Musonda kuliko hilo garasa

Unamtoa Chama ati mbadala wake awe Kouma, kwanza Kouma hana hadhi ya kucheza Yanga

Doumbia hawezi kuziba gap la Aziz ki hata nusu, hana fitness, sio goal getter, yaani ni mzubaifu mno
 
Uongozi wa Yanga umefanya makosa mengi sana msimu huu na ambao umeanza kuigharimu timu!
1. Umemumuuza Stephane Aziz Kii (nama 10 mchezeshaji), halafu wakamsajili Mohamed Doumbia ambaye ana kitu mguuni na kichwani, lakini anakosa match fitness! (Kwangu mimi namuona yuko slow sana).

2. Uongozi ulitakiwa umuongezee mkataba Khalid Aucho (kwa dababu kwa misimu kadhaa nyuma, alikuwa mhimili pale nyuma). Ila kwa kumdharau, wakaamua kumuacha aondoke na wakamsajili Mousa Balla Conte ambaye mpaka leo, ameshindwa kuwa mtithi wa Aucho! Badala yake Folz amuibua Aziz Andabwile, mchezaji asiye na kasi ya mchezo.

3. Uongozi umemsajili Andy Boyeli kama mshambuliaji wa kumpa changamoto Prince Dube! Bahati mbaya na yeye mpaka muda huu hana msaada kivile kwa timu.

4. Uongozi kukubali Miloud Hsmdi kuondoka ndani ya muda mfupi. Huyu kocha walitakiwa wamboreshee maslahi yake na hivyo kuhakikisha anabaki! Bahati mbaya ndiyo hivyo tena! Wakakubali aondoke, na wakaamua kumleta kocha mwenye CV nzuri ya kwenye makaratasi! Ila upande wa vitendo akaonekana si chochote, si lolote!

5. Uongozi (na hasa Injinia Hetsi na Ally Kamwe) kuihusisha timu na siasa za ccm, kana kwamba Yanga ni tawi la ccm! Hili ni kosa kubwa wamelifanya,na litawatafuna kwa muda mrefu.

Nini cha kufanya?
1. Baadhi ya hatua zimeanza kuchukuliwa. Mfano kumuondoa Romain Folz. Ila bado haitasaidia kitu.
2. Uongozi unatakiwa kupunguza mawenge ya kuachana na makocha kama Miloud Hamdi ndani ya muda mfupi.

3. Injinia Hersi na mdogo wake Alky Kamwe wapunguze kulewa sifa na pia kuifanya timu kuwa tawi la ccm.

4. Wanachama na mashabiki wa Yanga tunatakiwa kuwa wamoja kwenye kuiunga mkono timu katika kipindi hiki kigumu ili iweze kupita salama.

5. Wachezaji na benchi la ufundi likae chini na uongozi, na kuona ni wapi walijikwaa, na hivyo kupindua meza kwenye mechi ya marudiano.
Ccm is the main source for young African failure
 
Kama mwanachama anguli wa Yanga, nawaasa acha mara Moja hata kufikiria kumleta Coach Rakotondrabe wa Madagascar kwenye timu yetu maana atafeli hata zaidi ya Folz

Mimi ni foundation ya coaching, sisi makocha tunajua ugumu wa coach wa national team kufanya kazi katika vilabu

Pili, Ogopa sana makocha wa tournament, sawa nakiri kuwa Rakotondrabe alionesha kiwango Bora kwenye mashindano ya CHAN ila binafsi simwani kama atafiti Yanga

Makocha waliofeli vibaya mno waliokuja Kwenye clubs naada ya kutoka national team

1. Luis Van Gal
Huyu alikuwa coach wa Netherlands, alivokuja pale Man United alipigwa hadi akachakaa

2. Luiz Phillipe Scolari
Huyu alitwaa world cup 2002 akiwa na Brazil, baadaye 2008 alijiunga na Chelsea ambapo alikaa tu miezi miwili na akafukuzwa

3. Joachim Low
Huyu Coach alitwaa world cup 2014, aliporudi kwenye Vilabu kila timu ilijipigia kama Ngoma ya kijiji

4 Marcello Lippi
Alitwaa world cup na Italy, lakini alikuja kufanya ovyo kwenye Vilabu mbalimbali

5. Thomas Tuchel
Huyu alifanya vyema kwenye club level ila Sasa anachemka pale England national team, lakini amepiga mwigi Maiz 05, Dortmund, PSG, Buyer Munich na akatwaa UEFA na Chelsea

Yanga tafuta Coach wa viwango sio Rakotondrabe
Kocha yoyote atakayekuja Yanga haijalishi ni nani,lazima atapewa mda wa kukipanga kikosi je mashabiki mda wa kumvumilia huyo kocha mnao. Maana mashabiki wa bongo wao mpira kwao kama chai na sukari, wanataka wakoroge sekunde kazaa wanywe. Hamna mistake kama ya kumuondoa kocha aliyeipa ubingwa,maana timu ilikuwa na muunganiko inacheza vizuri,kocha anawajua wachezaji, hamna mabadiliko makubwa msimu huu, yaani kama angebaki tungeendelea kupata burudani.
 
Yanga ilifanya kosa kubwa kumuacha Miloud aende.

Tutayumba sana kabla ya kuja kukaa sawa.
Wabongo kuweni waelewa. Yanga hamumuacha kocha isipokua kocha alipata ofa nzuri zaidi. Timu zetu bado hazina msuli wa kifedha kumzuia mchezaji au kocha anaehitajika uarabuni
 
Makocha waliofeli vibaya mno waliokuja Kwenye clubs naada ya kutoka national team

1. Luis Van Gal
Huyu alikuwa coach wa Netherlands, alivokuja pale Man United alipigwa hadi akachakaa
Louis van Gaal had a successful first tenure at Barcelona from 1997 to 2000, winning two La Liga titles, a Copa del Rey, and a European Super Cup, which was the club's first league and cup double in 39 years.
 
Uongozi wa Yanga umefanya makosa mengi sana msimu huu na ambao umeanza kuigharimu timu!
1. Umemumuuza Stephane Aziz Kii (nama 10 mchezeshaji), halafu wakamsajili Mohamed Doumbia ambaye ana kitu mguuni na kichwani, lakini anakosa match fitness! (Kwangu mimi namuona yuko slow sana).

2. Uongozi ulitakiwa umuongezee mkataba Khalid Aucho (kwa dababu kwa misimu kadhaa nyuma, alikuwa mhimili pale nyuma). Ila kwa kumdharau, wakaamua kumuacha aondoke na wakamsajili Mousa Balla Conte ambaye mpaka leo, ameshindwa kuwa mtithi wa Aucho! Badala yake Folz amuibua Aziz Andabwile, mchezaji asiye na kasi ya mchezo.

3. Uongozi umemsajili Andy Boyeli kama mshambuliaji wa kumpa changamoto Prince Dube! Bahati mbaya na yeye mpaka muda huu hana msaada kivile kwa timu.

4. Uongozi kukubali Miloud Hsmdi kuondoka ndani ya muda mfupi. Huyu kocha walitakiwa wamboreshee maslahi yake na hivyo kuhakikisha anabaki! Bahati mbaya ndiyo hivyo tena! Wakakubali aondoke, na wakaamua kumleta kocha mwenye CV nzuri ya kwenye makaratasi! Ila upande wa vitendo akaonekana si chochote, si lolote!

5. Uongozi (na hasa Injinia Hetsi na Ally Kamwe) kuihusisha timu na siasa za ccm, kana kwamba Yanga ni tawi la ccm! Hili ni kosa kubwa wamelifanya,na litawatafuna kwa muda mrefu.

Nini cha kufanya?
1. Baadhi ya hatua zimeanza kuchukuliwa. Mfano kumuondoa Romain Folz. Ila bado haitasaidia kitu.
2. Uongozi unatakiwa kupunguza mawenge ya kuachana na makocha kama Miloud Hamdi ndani ya muda mfupi.

3. Injinia Hersi na mdogo wake Alky Kamwe wapunguze kulewa sifa na pia kuifanya timu kuwa tawi la ccm.

4. Wanachama na mashabiki wa Yanga tunatakiwa kuwa wamoja kwenye kuiunga mkono timu katika kipindi hiki kigumu ili iweze kupita salama.

5. Wachezaji na benchi la ufundi likae chini na uongozi, na kuona ni wapi walijikwaa, na hivyo kupindua meza kwenye mechi ya marudiano.
Hamdi tungempa hata miezi kadhaa mbele, yamkini angeendelea kuisuka timu. Folz toka alivyohusishwa na Yanga tu, nikasema hapa ni upumbavu, kocha gani ana CV nyepesi kiasi hiki?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom