Huko walipo Yanga, Simba walishapita kitambo

Robot la Matope

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
7,053
13,711
LAZIMA TUWAKUMBUSHE

Kuwa wakati mnatamba Rais wa Yanga Just kupiga picha tu , Mkumbuke Simba iliwahi kuombwa elewa neno Kuombwa wacheze mchezo wa Kirafiki dhidi ya Sevilla na mchezo ulichezwa

Kumbuka Simba hawakupaswa kucheza mchezo huu kwa kuwa hawakuwa mabingwa wa kombe la Sportpesa lilokuwa linafanyika miaka ya hivi karibuni , lakini kwa kuwa aliyechukua Ubingwa alikuwa hana kiwango bora Sevilla wakasema wao wanahitaji kucheza na Simba SC

Imagine unacheza na team kama Sevila na unaifunga bao nne , halafu kuna mtu anasema Rais wa Yanga kupiga picha na Wachezaji wa PSG ambao hata Ommy Dimpoz alipiga picha na wachezaji wa Man u

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi kipindi hicho Mo Dewj alimkabidhi Rais w FIFA Infatino jezi ya Simba kwa mara ya kwanza jezi ya Team toka Tanzania ilishikwa na rais wa FIFA.

Simba ndiyo Club ya Kwanza kuletea watu wa mpira Tanzania African Super League alikuja Rais wa FIFA, akaja Arsene Wenger n.k

Simba SC ndiyo Club ya kwanza Kupostiwa kwenye page ya FIFA WORLD CUP na sasa ndiyo Club ya kwanza itakayoshiriki mashindano ya World Cup ngazi ya vilabu.

Haya tunayaongea ili muone ni mambo ya kawaida sana ,lakini kuna watu wataumia ila kwa kuwa ndiyo kwanza kwenu mnatakiwa kufurahia ikiwezekana na mabango tena yawekwe!!

Bata wa Head

FB_IMG_1704434937666.jpg
 
Kwani hivi ni lazima kujitetea kwa kila wafanyacho Yanga kweli?

Makolo mna tabu sana.

Hersi kapiga picha kwa utashi wake inakuwaje mnatoka povu kiasi hiki asee. Mtaendelea kucheza mziki wa Yanga hadi lini? Kila anachofanya Yanga lazima mkitafutie majibu, mnapotea sana aisee

Kama Simba alishapita huko is well and good, huna haja kubwabwaja yote hayo, unajionesha kiasi gani unaburuzwa na matendo ya Yanga mburula wewe
 
Sidhani kama kulikua na issue kubwa kiasi muanze kuongea haya. Anyway kwakua mmeleta nami naomba nichangamshe genge lako.

Katika hiyo picha hapo juu naomba nioneshe mshindi wa kombe la dunia hata mmoja
 
LAZIMA TUWAKUMBUSHE

Kuwa wakati mnatamba Rais wa Yanga Just kupiga picha tu , Mkumbuke Simba iliwahi kuombwa elewa neno Kuombwa wacheze mchezo wa Kirafiki dhidi ya Sevilla na mchezo ulichezwa

Kumbuka Simba hawakupaswa kucheza mchezo huu kwa kuwa hawakuwa mabingwa wa kombe la Sportpesa lilokuwa linafanyika miaka ya hivi karibuni , lakini kwa kuwa aliyechukua Ubingwa alikuwa hana kiwango bora Sevilla wakasema wao wanahitaji kucheza na Simba SC

Imagine unacheza na team kama Sevila na unaifunga bao nne , halafu kuna mtu anasema Rais wa Yanga kupiga picha na Wachezaji wa PSG ambao hata Ommy Dimpoz alipiga picha na wachezaji wa Man u

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi kipindi hicho Mo Dewj alimkabidhi Rais w FIFA Infatino jezi ya Simba kwa mara ya kwanza jezi ya Team toka Tanzania ilishikwa na rais wa FIFA.

Simba ndiyo Club ya Kwanza kuletea watu wa mpira Tanzania African Super League alikuja Rais wa FIFA, akaja Arsene Wenger n.k

Simba SC ndiyo Club ya kwanza Kupostiwa kwenye page ya FIFA WORLD CUP na sasa ndiyo Club ya kwanza itakayoshiriki mashindano ya World Cup ngazi ya vilabu.

Haya tunayaongea ili muone ni mambo ya kawaida sana ,lakini kuna watu wataumia ila kwa kuwa ndiyo kwanza kwenu mnatakiwa kufurahia ikiwezekana na mabango tena yawekwe!!

Bata wa Head

View attachment 2862272
Unaonekana unaumia sana na mambo ya Yanga. Hakukuwa na ulazima wa kujitetea sana kwenye Jambo dogo kama hili la picha tu.
 
Kwani hivi ni lazima kujitetea kwa kila wafanyacho Yanga kweli?

Makolo mna tabu sana.

Hersi kapiga picha kwa utashi wake inakuwaje mnatoka povu kiasi hiki asee. Mtaendelea kucheza mziki wa Yanga hadi lini? Kila anachofanya Yanga lazima mkitafutie majibu, mnapotea sana aisee

Kama Simba alishapita huko is well and good, huna haja kubwabwaja yote hayo, unajionesha kiasi gani unaburuzwa na matendo ya Yanga mburula wewe
SIFA ZITAMUUA HUYU MASHAVU WA UTOPOLO.

Hivi karibuni Raisi wa FIFA Infatino alipokuja kwaajili ya tukio la ufunguzi wa Super league na Simba akiwa ndiye baba wa tukio hilo

Jamaa huyu wa UTO alienda kujipendekeza kwa Raisi wa FIFA bila kualikwa lengo tu sifa sifa tu ijulikane naye yupo hata hivyo hakuambulia sehemu aliishia kujieleza bila kueleweka

Kwenye finali ya Africa Super league huyu huyu Raisi wa Utopolo alienda huko south Africa bila kupewa mwaliko kwani UTO haimo kwenye haya mashindano

Baadaye aliambulia kuishia mlangoni tu baada ya kuambiwa hatambuliki hivyo haruhusiwi kuwa sehemu ya wageni rasmi na huku Try Again alikua miongoni mwa wageni waalikwa, hapa napo akaambilia aibu ya kusukumiziwa njeee

Leo hii tena kaenda huko PSG kalipa pesa ili apate nafasi ya kukutana na baadhi ya Watu pale klabuni

Ila kadanganya kwamba kapewa mwaliko

Yani kuomba apige picha tu na wachezaji wa PSG kashadanganya kwamba alipewa mwaliko

Kupiga picha ni simple hata Brother K au Bocco anaweza kwenda na kupiga picha nao muhimu utoe pesa baasi

SIFA ZITAMFIKISHA PABAYA HUYU MTU
 
Utopolo wanatumia nguvu kubwa kuonesha wao ni tim kubwa ,,lakini ki uharisia bado ni tim ndogo ina safari ndefu sana 😁
 
Kwani hivi ni lazima kujitetea kwa kila wafanyacho Yanga kweli?

Makolo mna tabu sana.

Hersi kapiga picha kwa utashi wake inakuwaje mnatoka povu kiasi hiki asee. Mtaendelea kucheza mziki wa Yanga hadi lini? Kila anachofanya Yanga lazima mkitafutie majibu, mnapotea sana aisee

Kama Simba alishapita huko is well and good, huna haja kubwabwaja yote hayo, unajionesha kiasi gani unaburuzwa na matendo ya Yanga mburula wewe
LAZIMA TUWAKUMBUSHE

Kuwa wakati mnatamba Rais wa Yanga Just kupiga picha tu , Mkumbuke Simba iliwahi kuombwa elewa neno Kuombwa wacheze mchezo wa Kirafiki dhidi ya Sevilla na mchezo ulichezwa

Kumbuka Simba hawakupaswa kucheza mchezo huu kwa kuwa hawakuwa mabingwa wa kombe la Sportpesa lilokuwa linafanyika miaka ya hivi karibuni , lakini kwa kuwa aliyechukua Ubingwa alikuwa hana kiwango bora Sevilla wakasema wao wanahitaji kucheza na Simba SC

Imagine unacheza na team kama Sevila na unaifunga bao nne , halafu kuna mtu anasema Rais wa Yanga kupiga picha na Wachezaji wa PSG ambao hata Ommy Dimpoz alipiga picha na wachezaji wa Man u

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi kipindi hicho Mo Dewj alimkabidhi Rais w FIFA Infatino jezi ya Simba kwa mara ya kwanza jezi ya Team toka Tanzania ilishikwa na rais wa FIFA.

Simba ndiyo Club ya Kwanza kuletea watu wa mpira Tanzania African Super League alikuja Rais wa FIFA, akaja Arsene Wenger n.k

Simba SC ndiyo Club ya kwanza Kupostiwa kwenye page ya FIFA WORLD CUP na sasa ndiyo Club ya kwanza itakayoshiriki mashindano ya World Cup ngazi ya vilabu.

Haya tunayaongea ili muone ni mambo ya kawaida sana ,lakini kuna watu wataumia ila kwa kuwa ndiyo kwanza kwenu mnatakiwa kufurahia ikiwezekana na mabango tena yawekwe!!

Bata wa Head

View attachment 2862272
Aliewaita matikit ya mo hakukosea. Mtateseka sana na YANGA trip hii. Kila kinachofanywa lazima mkitafutie majibu ya kuokoteza. Wakati huo YANGA wanafanya hawana habari kabisa na mikia. Mtateseka sana na bado hamjasema
 
Madunduka mnateseka na mengi sana, kuna mwenzenu mwingine huku anasema hersi sio mtanzania hivyo atimuliwe.

Bado mnatafunwa na zile 5.
 
Aya mabandiko ya ki mbumbumbu ndio yanayofanya Rage aonekane Genius.
Mimi na sisitiza ajengewe mnara haraka kule Bunju Mo complex.
 
Pre season elewa wanarefresh mind,Koo hamna maajabu kipindi hicho hata Pacome pre season anaweza cheza na Mwijaku😂
 
LAZIMA TUWAKUMBUSHE

Kuwa wakati mnatamba Rais wa Yanga Just kupiga picha tu , Mkumbuke Simba iliwahi kuombwa elewa neno Kuombwa wacheze mchezo wa Kirafiki dhidi ya Sevilla na mchezo ulichezwa

Kumbuka Simba hawakupaswa kucheza mchezo huu kwa kuwa hawakuwa mabingwa wa kombe la Sportpesa lilokuwa linafanyika miaka ya hivi karibuni , lakini kwa kuwa aliyechukua Ubingwa alikuwa hana kiwango bora Sevilla wakasema wao wanahitaji kucheza na Simba SC

Imagine unacheza na team kama Sevila na unaifunga bao nne , halafu kuna mtu anasema Rais wa Yanga kupiga picha na Wachezaji wa PSG ambao hata Ommy Dimpoz alipiga picha na wachezaji wa Man u

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi kipindi hicho Mo Dewj alimkabidhi Rais w FIFA Infatino jezi ya Simba kwa mara ya kwanza jezi ya Team toka Tanzania ilishikwa na rais wa FIFA.

Simba ndiyo Club ya Kwanza kuletea watu wa mpira Tanzania African Super League alikuja Rais wa FIFA, akaja Arsene Wenger n.k

Simba SC ndiyo Club ya kwanza Kupostiwa kwenye page ya FIFA WORLD CUP na sasa ndiyo Club ya kwanza itakayoshiriki mashindano ya World Cup ngazi ya vilabu.

Haya tunayaongea ili muone ni mambo ya kawaida sana ,lakini kuna watu wataumia ila kwa kuwa ndiyo kwanza kwenu mnatakiwa kufurahia ikiwezekana na mabango tena yawekwe!!

Bata wa Head

View attachment 2862272
Mkuu kwani simba ameishapita kwenye mchujo wa kwenda kucheza world cup?
 
wacha bangi...pale sevilla hawana rekodi yoyote kwamba waliwahi kucheza na simba,km vitu hujui sema ujulishwe
 
Back
Top Bottom