Klabu ya Yanga imekuwa na malumbano na TFF kuhusiana na nembo ya wadhamini wa ligi kuu ya Vodacom, issue ni doa jekundu katika jezi ambazo wadhamini hao wanazotoa kwa vilabu vyote vinavyoshiriki ligi hiyo, Wanajangwani wanalalamika kuwa lazima doa hilo jekundu liondolewe liwekwe la njano au kijani/nyeusi ................. mbona wachezaji wao wanavaa viatu vyekundu na wanafunga magoli na mara nyingine wanafungwa? na zile noti nyekundu vp... hivi rangi nyekundu ambayo haitakiwi hili DOA la VODACOM au mna lenu jambo?
Hatuvai doa jekundu ata msemaje.
tatizo ni ushirikina kaka hawatakubali hata kwa dawa.Hapa kwakweli Viongozi wetu wanaonyesha uchemfu mkubwa,what s doa jekundu?
I personally dont support it,waache kusimamia mambo yasiyo na msingi wasimamie ustawi wa team ili tuchukue Ubingwa kwa style kama ya msimu wa juzi
Hatuvai doa jekundu ata msemaje.
Klabu ya Yanga imekuwa na malumbano na TFF kuhusiana na nembo ya wadhamini wa ligi kuu ya Vodacom, issue ni doa jekundu katika jezi ambazo wadhamini hao wanazotoa kwa vilabu vyote vinavyoshiriki ligi hiyo, Wanajangwani wanalalamika kuwa lazima doa hilo jekundu liondolewe liwekwe la njano au kijani/nyeusi ................. mbona wachezaji wao wanavaa viatu vyekundu na wanafunga magoli na mara nyingine wanafungwa? na zile noti nyekundu vp... hivi rangi nyekundu ambayo haitakiwi hili DOA la VODACOM au mna lenu jambo?
Hapa kwakweli Viongozi wetu wanaonyesha uchemfu mkubwa,what s doa jekundu?