Yanga mnaivimbia TFF kisa kanuni imekiukwa. Mmejipanga kuzifuata kanuni zote au ni mihemko tu?

Wewe Nafaka pitia usome hapa usiwe mbwatukaji tu
 
TFF Ni lini waliifavour Yanga kwenye maamuzi yao. Itoshe kusema Karia na wahuni wenzie siku zao zinahesabika hapo karume mwezi wa name siyo mbali tunaenda kufuatilia mbali upuuzi huu wote.
 
Ajabu Mwakalebela alipopewa adhabu alikimbilia serikalini badala ya kufata kanuni
 
Kwa Hilo lililotokea Yanga wapo sahihi TFF wamezingua Sana tena wangetuomba msamaha washabiki wote au huyo anaeshughulikia mawasiliano aondoke
 
Namba tatu inamaanisha tff wao wanaweza kubadili mda wa mchezo husika,hapo hapo kinasema kwa sababu ambazo Tff italizika na sababu hizo,hapa sheria imetaja ikilizika TFF,sasa Tff walitakiwa wawaite viongozi wa timu zote mbili na waongee nao kuna mabadiliko ya mda yametokana na sababu hii na hii.unavyosema tumesogeza mda wa mchezo kwa maelekezo kutoka serikalini maelekezo ambayo wadau hawayajayajua kunaleta sintofahamu,

Fifa inakataza serikali kuingilia maswala ya mpira.sasa kama wao Tff jeuri iwachukulie hatua yanga ya kuipokea pointi,kisha Yanga nao waende Fifa wakaishtaki tff kwa jambo hili la kubadili ratiba kwa sababu wameambiwa na serikali
 
Potelea mbali,, kwani Mara ngapi tumeona timu zinapigwa fine tena kwa makosa ya mashabiki wake hata sio timu.. Tunataka sana TFF wasimamie hizo sheria na kama kuna kosa kwa team watoe adhabu kulingana na sheria husika as long as sheria imefuatwa tu.. Sio kutoa adhabu eti kuikomoa yanga kwamba wanalipiza kisasi hapo patachimbika *****
 


Suala si kuvieleza vilabu kukubali kuwa hii ni dharura na ni ya msingi. Kanuni haijatoa mjadala kati ya TFF na vilabu bali TFF kuiona sababu yenyewe na kuridhia udharura na msingi. Nini kufuate na kulingana na muda uliopo, hayo yote yako mikononi mwao.

Hapa ndo huwa tunaingia kwenye kutengeneza kanuni nyingine ili kulinda upande wa pili usiumie. Lakini, ni baada ya mambo kuwekwa sawa.

Huwa inasemwa kanuni hutengenezwa baada ya kuona mwanya fulani unaoweza kutumika vibaya.

Kumbuka TFF, haiwezi kuelea tu bila kuhusika na serikali. Sisi huwa tunaona tu michezo ikichezeka lakini mfano: FIFA haiwezi kuleta askari wake au TFF ili kuangalia usalama hivyo ukipata udhuru wa upande wa serikali ni mhimu kuzingatia kama unaleta maana.

Ni rahisi kusema mengi lakini suala ni lile TFF wataibuka nalo ikiwa sababu toka upande wa serikali kama wataona haja ya kulisema ndo utasikia SI MNGETUAMBIA KITU CHENYEWE TUSINGEKATAA.

Je kanuni imesema ujulishwe hilo suala?
 

Boss hanuniwi, sasa ngoja waone kitakachotokea maana wamesahau kuwa maisha lazima yaendelee.
 
Kwa uduanzi wa kususia mechi ningekuwa na mamlaka Hawa utopolo na simba wote wangenikoma.
Tff inafanya vitu vingi Sana kuzibeba hizi timu yani ninge cancel vyote ***** wangekoma dadeki zao
 
Morrison kamtia Dole Refa, TFFwamechukua hatua gani?

Sent from my V2027 using JamiiForums mobile app
 
Mechi hii ipangwe siku ya mwisho SIMBA alikabidhiwa kombe, tena akikabidhiwa kombe na mechi kadhaa mkononi. Watakuja tu kwa lazima au waisuse timu yao ila hamna namna. Itapendeza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…