Yanga kwa kweli wamewafunika Simba 100%

Mnyero fc kwenda zako huko na wivu wako wa kike
Hamna jeuri ya kujaza uwanja
Screenshot_2020-08-30-23-54-30.jpg
 
Yanga leo wameshangilia Kama wamechukua kombe kumbe wamebahatisha kumfunga utopolo mwenzao na Kama asingetolewa yule jamaa Leo yanga aibu ilikuwa kwenu
 
Ila WCB waache kumfanyia uchawi Konde boy, sio kwa kumwangusha kule
 
Wivu mbaya, ishu ya kujaza uwanja m'meshindwa m'meamua sasa kuhamia kwa kondeboy!!
TULIENI IWAINGIE VIZURI..
Kiingilio ilikuwa bei gani mkilinganisha na Simba? siku ya Simba mambo ya tiketi yalizingua serikali ilibadili agent muda ukiwa umeenda.
 
Kiingilio ilikuwa bei gani mkilinganisha na Simba? siku ya Simba mambo ya tiketi yalizingua serikali ilibadili agent muda ukiwa umeenda.
Mfamaji... 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 mikia hamuishi vituko..Na wale walioingia mikia-day walipaa wakaingia..??
 
Vyura bhana, kiingilio chenyewe bure kile, weka viingilio vya Simba day uone kama vyura mngefika hata nusu ya uwanja.
Mikia hata wawekewe kiingilio buku 2 hawajazi tena ule uwanja, Mara oooh bila mikia Yanga hawajazi uwanja..Jana ikawaje??
 
Simba day wakati imebaki siku 2 nilienda kukata ticket mashine zikazingua ,Siku ya pili hivo hivo nikaacha kununua ,system za kuuza tickets ilizingua sana
Kiingilio ilikuwa bei gani mkilinganisha na Simba? siku ya Simba mambo ya tiketi yalizingua serikali ilibadili agent muda ukiwa umeenda.
 
Jamani, jamani, jamani hii Yanga Day Imetisha!

Yanga kweli ni kiboko yao Kwanza imejaza uwanja watu wamefurika mpaka nafasi hakuña wengine wamebaki nje ukilinganisha na Simba day uwanja ulipwaya Sana.

Show ya msanii (harmonise) Latisha namna alivyoingia uwanjani. Kabumbu limepigwa vizuri Sana. Yàani Yanga Wamesajili watu wa ukweli wanapiga kazi show game wanaijua Simba walirukaruka Kama maharagwe kwenye chungu.

Jamani Acheni Yanga iitwe timu ya wananchi
Consider hv vitu.
1: Nani wakwanza ku perform nani kafuata?
2: Nani kaweka kiingilio nafuu kuliko mwingine?
3: Nani hakuwa na JIPYA la kufurahisha mashabiki wake takriban misimu kadhaa sasa?
4: Nani mashabiki wake wanachukulia ni kawaida furaha kila siku. Vikombe na ushindi?
UKIPATA YOUR ANSWER.
Jitathimini ulichokiandika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom