Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 20,718
- 45,125
Watu wa kwanza wa ovyo ni wale waliopewa hundi hewa ya b.20, wale ni double ovyoπ€£π€£π€£π€£Wizara watu wa hovyo....
Uto wana mechi gani za kimataifa..!? Au msimu ujao wa 2022/2023!?
Bora hata wangeingia mkataba na Biashara au Azam.....
Idea ilianzia ulaya huko, na zaidi tukaona kwenye jezi za Arsenal "Risit Rwanda" Simba akakwapua humo ati sasa anajiona ndio mbunifu, ujinga mtupu.Ni jambo la kheri,japo haijakaa vyema sana...
Nao wangeandika Visit Tanzania sidhani kama Simba wangewakawatalia kwa kigezo cha kuiba idea
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Daaah nimecheka sanahawa wanatoka sasa hivi sanasana watatangaza aibu ya taifa labda watangaze vivutio vya Kongo
Waziri wa Utalii alisema kuwa anaamini Yanga wataenda kupindua meza NigeriaHiyo project ya yanga na hao wizara ya utalii ni white elephant project..yanga na kimataifa wapi na wapi? Si wanaenda kukamilisha ratiba Nigeria kisha waanze Ruti za Namungo na ruvu
Waziri anaamini Yanga watafanya maajbu kisa tu takwimu zote zilimbeba Yanga mechi ya kwanzaπWizara watu wa hovyo....
Uto wana mechi gani za kimataifa..!? Au msimu ujao wa 2022/2023!?
Bora hata wangeingia mkataba na Biashara au Azam.....
Hilo tangazo ni kama la godoroKlabu ya Yanga imeamua kutangaza utalii katika jezi zao katika mechi za kimataifa! Wamefikia makubaliano hayo na Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia waziri wa wizara hiyo Dr. Damas Ndumbaro...
Kwanini?πHilo tangazo ni kama godoro la GSM
Mbona wabongo tunataka kuwa empty set sana vichwani mwetu?Wazee wa kuiga hahaa
Kwa sababu hiiKwanini?
Wakati wa Kikwete iliwahi kuwepo VISIT TANZANIA kwenye uwanja wa SunderlandIdea ilianzia ulaya huko, na zaidi tukaona kwenye jezi za Arsenal "Risit Rwanda" Simba akakwapua humo ati sasa anajiona ndio mbunifu, ujinga mtupu.