Yanga kushuka daraja.

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,647
Kwa hali inavyokwenda sasa katika ligi kuu ya Vodacom.
Kuna uwezekano mkubwa kwa mabingwa watetezi Yanga kushuka daraja.
Ingawa ligi ndo kwanza ipo mwanzoni mwanzoni lakini nyota njema huonekana tangu asubuhi.
Inasemekana tayari kuna mgogoro umeanza kufurukuta ndani ya timu hiyo kufuatia matokeo mabaya huku beki tegemezi Nadir Canavaro akiwa majeruhi bila daktari wa timu kuwa na taarifa.
 
Wacheni mentality za ajabu, kwa nini isishuke daraja??? Ni vizuri ishuke ili ieleweke kuwa mpira si simba na yanga tu.

hizo timu nyingine sina habari nazo,subiri hawa madogo wakue ndo wazishabikie hzo timu wanazolingana nazo umri
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom