Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 3,611
- 8,746
Kiukweli nchi hii ukiwa akili au tajiri utazidi kuwa tajiri.
kuwepo kwa kadi za uwananchama sio kutengeneza mazingira ya kuwachangisha kisha muwekezaji asitumie pesa yake.
wanachama watakapo kuwa na kadi za electronic au njia nyengine za kuchangia basi tambua wananchama wa club ndio watakuwa na pesa nyingi ukilinganisha muwekezaji.
Mtindo huu utafanya muwekezaji kutotoa pesa yake sababu pesa zenu. Kama wananchi zinaendesha timu.
Kwanini klabu zetu zinakataa kuingia kwenye hisa na hizo zikawa faida kila mwaka kupata gawio la wanachama ambao wameweka hisa zao sio ada kila mwezi.
Mnanunua wachezaji kuwauza kwa bei lakini faida inakwenda kwa nani wakati mwanachama ana mchango wa makato.
kuna kitu kushtuka kwa ili