Yanga kuikosa huduma ya Okwi

Yanga kuikosa huduma ya Okwi

nadhan kesi yake hailingani na hii ya Yanga
Nah!....

Sijasema kama kesi yake inalingana na ya Yanga....Ni vitu viwili tofauti....

Angalia niliyemquote ameandika nini nadhani utaelewa swali langu lililenga nini...
 
Siamini macho yangu okwii ,duu bora arudi msimbazi
 
Mengi yatasemwa na kuandikwa lakini mwisho wa mchezo OKWI atachezea YANGA.
 
Karuhusiwa,v. Fuatilia habari za leo mkuu.
Jina la mchezaji Emmanuel Okwi kutoka Uganda halijaorodheshwa katika majina watakaoichezea klabu ya Yanga kwenye mzunguko wa ligi kuu ya Tanzania bara mzunguko wa pili.hii ni kutokana na sakata lake na Etoile du sahel kutokumalizika hivyo kwa mzunguko huu Yanga hawataweza kumtumia Okwi mpaka utata utakapoisha.

Jana Fredrick Mwakalebela kwenye akaunti yake ya facebook aliandika kuwa ameota kuwa sakata la Okwi limeibuka upya,leo hii habari hiyo imekuwa kweli.

Polen sana wana Yanga naona taratibu mnaanza kufuata nyayo za ubabaishaji za ndugu zenu Simba.

Source: shaffihdauda.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom