Yanga itatinga robo fainali, Simba itaishia hatua ya makundi

Hifadhi huu uzi utakuja kuniambia. Ipo hivi:-

-Simba siku ya jumamosi tarehe 18/03/2023 atacheza na Horoya, Simba atatoa sare 1-1 na kufikisha point 7 huku Horoya akifikisha point 5. Simba ataenda kwa waarabu Casablanca na atakutana na mvua ya magoli na kubaki na point zake 7. wakati huohuo Horoya akiwa nyumbani atashinda dhidi ya Vipers na kufikisha point 8 hivo atakua amevuka na kuingia robo fainali.

- Upande wa pili, Yanga siku ya Jumapili atajitupa dimbani dhidi ya Monestri ambapo mechi itaisha kwa ushindi wa 1-0. Yanga atakuwa amefikisha alama 10, Wakati huohuo TP Mazembe atashuka kukipiga na real bamako ambapo mechi itaisha kwa sare ya 1-1. Mazembe atafikisha point 5

- Mechi ya mwisho itapigwa pale Congo ambapo itaisha kwa sare ya 2-2, hivyo TP Mazembe atakuwa amefikisha point 6 na Yanga 11, hivyo Yanga anatinga robo fainal kibabe kama hivyo.

Baada ya hapo:- haya yatakuwa baadhi ya maneno ya Mashabiki wa Simba:-
1. Huyu mzungu sio kocha ni mshangiliaji wa magoli tu kama sisi
2.Bocco anawaroga wenzie
3. Viongozi wa Simba hawaelewani wao kwa wao wanatuhujum
4. Manzoki angesajiliwa tusingetoka
5. Mabeki wanategeana sana.
6. Ntibazokiza sio wa mechi za kimataifa
7. ………..
Na mengine mengi

Ushauri:
Mtakapo fikia hatua hii ndugu zangu wa Simba mtulie, Kubalini anguko lenu limefika. Mpaka hapo mlipofika ni hatua kubwa sana kulingana na wazee mlio nao. Mbrazil ni mwalimu mzuri endeleeni nae .. mpeni msimu mwingine tena kimataifa alafu mu mletee wachezaji wazuri alafu msubiri muone.

Nimeicopy kutoka kwa rafiki yangu
Haya wewe mama mwenye mwiko nyuma lete mrejesho
 
Yaani huko kwenu wewe ndio big brain..hao wasiokuwa na akili wako hali gani?! Vichekesho..
 
🤣🤣🤣🤣 Pole
 
Mkuu tafuta jinsi ya kufuta Uzi matako yapo wazi unajiaibisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom