Yanga inategemea Simba kupata wachezaji Bora

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,158
Reaction score
48,401
Sijajua tatizo lao huwa nini. Lakini Yanga inategemea Simba itafute wachezaji halafu yenyewe ianze kuwavizia.

Wema wa Simba unaiimarisha timu ya Yanga!
 
Simba yenyewe inashindwa kusajili wachezaji wake afu iwe inaisaidia Yanga kusajili wachezaji wazuri?
 
Mimi ninachojua Yanga wanasajili wachezaji wenye Quality kubwa zaidi kwa hii miaka mitano sasa.

Yani wachezaji a Yanga ni Bora na Class ya juu sana wengi ni Class II na III
Wakati simba ina wachezaji wengi daraja la 3 nne.

Mfano kwenye eneo la no 10 yanga wana.
Azizi ki.
Chama.
Pakome.
Max
Mudadhiri.

Je simba wana nani????????
Aibu kabisa
 
Facts kabisa
 
unamjua mutale wewe!!!
 
Back
Top Bottom