yanga inastahili pongezi

yanga inastahili pongezi

Ugenini matokeo mku
usiogope angalizo tusipaki bac mapema
 
Yanga imejizatiti ukija bila heshima unakula saba. kuna huyu anaekaa kwenye miti huko Serengeti tunamsubiri kwA hamu sana
 
nasikitika kwa yatakayo wakuta young african pale egypt katika match ya marudiano
Bayern Munich, Barcelona, Real Madrid, Atletico Madrid zote zimeanza na kushinda ugenini mechi zao za ubingwa wa Ulaya wiki iliyopita Esperence jana ilianza kwa kuifunga Gor mmechi yao ya mabingwa wa Afrika wakiwa ugenini. Maana yake nini? 1. Hakuna timu inayojifungisha makusudi hata inapoanzia ugenini. Mnaodhani Al Ahly wanajiamini kiasi cha kujifungisha makusudi mechi ya kuanzia ugenini mnajidanganya. 2. Anayejua anajua tu, awe nyumbani au ugenini. Timu inayotegemea ushindi ikiwa kiwanjani kwao tu haifai kusifiwa kama inavyosifiwa El Ahly. Inategemea mchezo mchafu, hakuna ligi ya 'mtu kwao' duniani. 3. Mpira ni mchezo wa kihabithi, matokeo yake hayafuati misingi ya uungwana wala mwelekeo wa kitakwimu. Si lazima kila mara timu nzuri ndiyo ishinde. Wala timu haiwezi kuwa mnyonge wa timu nyingine milele. Kabla ya kuifunga Schalke, Real Madrid haikuwahi kushinda mechi ya Kombe la Ulaya wakiwa Ujerumani kwa zaidi ya miongo miwili. Ikavunja mwiko kwa mabao.6-1. 4. Kuna kitu kinaitwa Gambler's Fallacy. Ni kwamba kila mchezo mpya wa kamari unasimama peke yake. Matokeo yake hayaamuliwi na ya mchezo uliotangulia. Kwa namna fulani ndivyo ulivyo mpira wa miguu.
Nawashangaa wanaokiuka ukweli wote huu na kuitabiria Yanga mabaya mechi ya marudiano.
 
Goal Goooooooooal yanga wasibweteke mpira haunaga dharau !! kuweka kiwango ni lazima....! hongera Tanzania.!
 
Mechi bado!saa hizi ni dakika ya ngapi mkuu?na kama hatua zipo 100,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,si mbaya kurudi hatua kumi na kujipongeza.Nyambaaafu
Te te te te! we ni mnazi wa yeboyebo au ulibet?
 
Back
Top Bottom