nakuunga mkono ila punguza lugha mbaya mtandaoni. Tuwaombee yanga wafanye vizuri zaidi kwenye mechi ya marudiano!Acheni mambo ya kisenge,yanga inawakilisha nchi.
charty@ achana na Ibada hizo. Yanga atafanya kweli.hahah watapgwa wiki kama msemo wao wa sikuhz!
hahah watapgwa wiki kama msemo wao wa sikuhz!
hatimaye yanga yafuta uteja na klab toka misri baada ya kuitandika goli moja.pongezi kwako kanavaro.je watatoka ugenini?
nakuunga mkono ila punguza lugha mbaya mtandaoni. Tuwaombee yanga wafanye vizuri zaidi kwenye mechi ya marudiano!
pindu makoka
ww ndio M..s..e..nge
Mkuu sio mbaya pongezi zikianzia leo, wakitoka Misri hilo ni suala lingine.........Mechi bado, ndo yale unatembea hatua moja unarudi hatua kumi kujipongeza, wapongeze wakitoka Cairo
ugenini tutatoka kwa neema za mungu, kikubwa nyumbani tumelinda heshima.
Mechi bado, ndo yale unatembea hatua moja unarudi hatua kumi kujipongeza, wapongeze wakitoka Cairo
wale majamaa huwa hawana huruma kwaoYanga ikitulia itaing'oa ahly.
Cairo ndo kabuli la yanga lilipochimbwa....