Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,124
- 6,141
Yanga ni taasisi watu wanatakiwa wajue hili ndani ya taasisi kuna mashabiki na watu aina tofauti-tofauti
Mfano
Shuhuli nyingi za Yanga mara nyingi ni mashehe wanatoa dua ila huwezi kuta mchungaji wa dhehebu lolote lile au hata padre mbona sisi wakristo hatujahama timu wala kulalamika sababu hamna maana yeyote ya kulalamikia hilo jambo
Siku ukiingia uongozi wa Yanga unaoaffiliate na act, chadema, au chauma basi utajifungamanisha na hivyo vyama, kama ilivyo sasa uongozi uliopo umejifungamanisha na ccm ilo liko wazi sasa nashangaa watu waliokasirika na kuama timu hawajafikiria kwa mapana
Hizi timu zinamambo mengi ya ajabu na yataendelea kuwepo
Mimi sio mshabiki wa ccm ila siwezi hama timu eti kwa sababu yanga kachangia ccm
Na fahamu nchi ya Tanzania siasa imeingilia sana mpira iko mifano mingi sana na hii imesababishwa na timu kunyimwa uwezo wa kujiendesha na kuendelea kutegemea watu na as long zinategemea watu mambo kama haya hayataisha
Mfano
- Kuna mashabiki wa Yanga ni Waislamu
- Kuna mashabiki wa Yanga ni Wakristo
- Kuna mashabiki wa Yanga ni wapagani
- Kuna mashabiki wa Yanga ni wachawi
- Kuna mashabiki wa dini ya ki-hindu
- Kuna mashabiki wa Yanga ni CCM,
- Kuna mashabiki wa Yanga ni CHADEMA
- Kuna mashabiki Yanga hawana chama