Yanga ilikuwaje wakaitwa Kandambili na Pan Africa wakaitwa Raizoni?

Kandambili kipindi hicho zilikua za umoja tu,ambazo zote zitakua na rangi ya njano katikati
 
Yebo yeboπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸΈπŸΈπŸΈ
 
Kama msitari ulikua mweupe na si njano labda ni 90 katikati kuja mbele...huko nyuma msitari ulikua njano tu
Ilikuwepo mistari myeupe. Na ilikuwepo isiyo na mistari kabisa before 90s.
na hiyo siyo sababu ya yanga kuitwa kandambili. Ni class issue.
 
Ilikuwepo mistari myeupe. Na ilikuwepo isiyo na mistari kabisa before 90s.
na hiyo siyo sababu ya yanga kuitwa kandambili. Ni class issue.
Sikuwahi ona umoja ikiwa na msitari tofauti na njano toka 80-90,sababu ya yanga kuitwa Kanda mbili ni nini?
 
Nimetoa sababu hapo juu.
Hukuwahi kuona vitu vingi sana mkuu, haimaanishi havikuwepo.
No kipindi kile hapakua na Kanda mbili zaidi ya umoja,mpaka 90 zilipokuja skyway na sunswallow,tukazitumia Kama viwalo sikukuu kwa muundo wake tofauti
 
Kutaja tawi la mtaa wa Mkumba umenikumbusha mbali sana, Mzee alikua akinichukua kwenda nae pale tawini nikiwa Nina umri mdogo. Kahawa na Tangawizi kashata za Nazi, palichangamka sana.
Ni tawi la Zamani sana sijui kama bado lipo.
 
Me sijui ila subiri waje wakina kaka Mshana Jr watupe history kdg
Jibu ni UMASKINI!! Kipindi hicho mwenyekiti wa Yanga alikuwa anaitwa Mzee Taabu Mangara. Maarufu sana ila ila pochi ni nyembamba kama chapati!! Kwa hiyo waliitwa kandambili kuonesha kuwa ni timu maskini sana!
Kwa upande mwingine Viongozi wa Pan African walikuwa ni matajiri. Enzi hizo kiatu pendwa cha bei ya juu kilikuwa kinaitwa laizon (chenye soli kubwa iliyoinuka sana na kumfanya mvaaji aonekane ni mrefu).
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…