Yanga hawakustahili kuchukua ubingwa

Yanga hawakustahili kuchukua ubingwa

jamaikatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2023
Posts
382
Reaction score
1,322
Yanga hawakustahili kuchukua ubingwa msimu ila udhaifu wa Simba,Singida Black Stars ndio umesababisha Yanga kuchukua ubingwa,walippteza michezo miwili mfululizo na ile ilipaswa kuwa faida kwa hizi timu mbili kuchukua taji lakini kutokuwa na mpango mzuri kukasababisha Yanga kurudi na kukaa juu yao
 
Haya tufanye hawakustahili ! Simba mmpewe kombe lenu! Hongereni mabingwa wapya wa Tanzania!
 
Kwa lile mbugi nimelicheki tena Yanga wameubonda mwingi , wewe sio mshabiki wa simba , simba hatuna kilaza kama wewe kwenye data zetu huku🤔
 
Yanga hawakustahili kuchukua ubingwa msimu ila udhaifu wa Simba,Singida Black Stars ndio umesababisha Yanga kuchukua ubingwa,walippteza michezo miwili mfululizo na ile ilipaswa kuwa faida kwa hizi timu mbili kuchukua taji lakini kutokuwa na mpango mzuri kukasababisha Yanga kurudi na kukaa juu yao
👆👆
 
Kwani si ligi zote bingwa anapatikana kutokana na udhaifu wa timu nyingine, huo udhaifu ndo tunautaka sasa
 
Yanga hawakustahili kuchukua ubingwa msimu ila udhaifu wa Simba,Singida Black Stars ndio umesababisha Yanga kuchukua ubingwa,walippteza michezo miwili mfululizo na ile ilipaswa kuwa faida kwa hizi timu mbili kuchukua taji lakini kutokuwa na mpango mzuri kukasababisha Yanga kurudi na kukaa juu yao

Ubingwa unapimwa na ubora wa mshindi a udhaifu wa washindani, sasa Mimi sielewi unatumia vipimo gani vingine!
 
Back
Top Bottom