Yanga anafungwa leo

Umeongea mpira na sio ushabiki
 
Wachezaji wakubwa wanaweza kufanya lolote wanaposajiriwa kwenye Timu mpya naona mnawadharau wakina Shalulile na Albert Kangwanda na huyu dogo kiungo kutoka KCMC haya ngoja tuangalie boli mtarudi tena hapa...
Watu wa mpira kubadilika ni rahisi sana baada ya gemu kuona..
 
Msimu uliopita
Yanga kocha alikuwa mpya roman folz, Simba kocha alikuwepo na timu muda fadlu lkn bdo alifungwa simba
 
Upo sahihi mkuu, hata mimi japo ni Yanga nimewaza hilo. Simba anaweza akaitaka zaidi hii mechi kuliko Yanga.

Chemistry ya kocha mpya Yanga pamoja na safu ya ushambuliaji inaweza ikawachukua muda kuidhibiti. Yamkini Yanga ikategemea counter zaidi.
 
I second you, mimi pia ni Yanga na leo ninaona tuna kazi kubwa sana sababu Simba inaingia uwanjani ikiwa na confidence ya matokeo ya mechi 3 za nyuma.

Yamkini Yanga imeshaona ni wapi ilifeli so inafix makosa yake ktk Game ya leo. Ukiachana na Shalulile, tungekuwa na watu wengine wawili basi hii game tusingekuwa na mashaka nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…