Yanga anafungwa leo

Yanga anafungwa leo

Ila kiukweli ukitazama vitu flan vidogo vidogo (japo vinaweza kuwa na impact) simba wana advantage zaid ya kushinda kuliko Yanga.
Kocha wao ni yule yule ambaye kshamfunga Yanga na kusuluhu mae
KIkosi chao ni kile kile maboresho si makubwa sana ambacho kilimpa matokeo

Mengine yanayobaki ni ya nje ya uwanja labda kama yanaweza leta shida. Ila ndani ya uwanja, simba nampa benefit of doubt kuliko chama langu Yanga
Umeongea mpira na sio ushabiki
 
Wachezaji wakubwa wanaweza kufanya lolote wanaposajiriwa kwenye Timu mpya naona mnawadharau wakina Shalulile na Albert Kangwanda na huyu dogo kiungo kutoka KCMC haya ngoja tuangalie boli mtarudi tena hapa...
Watu wa mpira kubadilika ni rahisi sana baada ya gemu kuona..
 
Mahaba yapo wapi mkuu, mchezaji ambaye aliyekuwa akiwasumbua simba ni pacome jayupo, hawa wapya kwa ukubwa wa mechi hii pamoja na kocha mpya nawaona wakihenyeka, presha itakuwa kubwa tofauti na simba, wachezaji wao wote walioanza kwenye mechi tatu zilizopita wapo pamoja na benchi la ufundi. Mimi karata nimeiweka kwao.
Msimu uliopita
Yanga kocha alikuwa mpya roman folz, Simba kocha alikuwepo na timu muda fadlu lkn bdo alifungwa simba
 
Mahaba yapo wapi mkuu, mchezaji ambaye aliyekuwa akiwasumbua simba ni pacome jayupo, hawa wapya kwa ukubwa wa mechi hii pamoja na kocha mpya nawaona wakihenyeka, presha itakuwa kubwa tofauti na simba, wachezaji wao wote walioanza kwenye mechi tatu zilizopita wapo pamoja na benchi la ufundi. Mimi karata nimeiweka kwao.
Upo sahihi mkuu, hata mimi japo ni Yanga nimewaza hilo. Simba anaweza akaitaka zaidi hii mechi kuliko Yanga.

Chemistry ya kocha mpya Yanga pamoja na safu ya ushambuliaji inaweza ikawachukua muda kuidhibiti. Yamkini Yanga ikategemea counter zaidi.
 
Ila kiukweli ukitazama vitu flan vidogo vidogo (japo vinaweza kuwa na impact) simba wana advantage zaid ya kushinda kuliko Yanga.
Kocha wao ni yule yule ambaye kshamfunga Yanga na kusuluhu mae
KIkosi chao ni kile kile maboresho si makubwa sana ambacho kilimpa matokeo

Mengine yanayobaki ni ya nje ya uwanja labda kama yanaweza leta shida. Ila ndani ya uwanja, simba nampa benefit of doubt kuliko chama langu Yanga
I second you, mimi pia ni Yanga na leo ninaona tuna kazi kubwa sana sababu Simba inaingia uwanjani ikiwa na confidence ya matokeo ya mechi 3 za nyuma.

Yamkini Yanga imeshaona ni wapi ilifeli so inafix makosa yake ktk Game ya leo. Ukiachana na Shalulile, tungekuwa na watu wengine wawili basi hii game tusingekuwa na mashaka nayo.
 
Back
Top Bottom