Bado unamshikamano na ahadi yako😂Kwa kikosi cha Makolo nilichoona Yanga akifungwa leo yaan YANGA apoteze point tatu leo nipigwe BAN ya Mwaka mzima na faini ya milion moja.
Sio haki mwingine kapigwa banAmesamehewa, ilikuwa midadi ya soka tu
Ndio ukome kuahidi vitu unavyoshindwa kutekeleza, unabaki kuomba huruma ya modsAcha roho mbaya.Hujui utani?
Vp naona makolo mumewafunga 2-0,🤣🤣🤣🤣Kwa kikosi cha Makolo nilichoona Yanga akifungwa leo yaan YANGA apoteze point tatu leo nipigwe BAN ya Mwaka mzima na faini ya milion moja.
Wasikupe ban mtani coz ina jina la mjomba wangu afande pc
Mtani hakuna ban tumekusameheAsante mtani japo nimekaa rumande kwa saa nzima,Nashukuru nimeonewa huruma
Sio haki atendewe kama alivyo ombaAmesamehewa, ilikuwa midadi ya soka tu
Basi apunguziwe apewe wiki 2 kama goli walizopigwaAmesamehewa, ilikuwa midadi ya soka tu
Shukran sana