mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,251
wenye magazeti huwa wanaandika taarifa za kuvutia wateja kununua magazeti yao.....hata nyie simba mkipata nafac km ya yanga mtaandikwa sana tyu mkuuKlabu bingwa ya Tanzania Yanga pamoja Na kucheza Mpira kwenye magazeti zaidi Leo wameshindwa Kwa Mara nyingine tena kuutumia vena uwanja wa nyumbani.Yanga Wa kimataifa zaidi wamezidi kuwaonyesha Watanzania kuwa wao Kwa kucheza mpira Na Magazeti ni hatari sana kuliko kucheza uwanjani.Ukisoma magazeti ya Leo utaamini kuwa timu yacGhana itafungwa magoli mengi sana kumbe ni kinyume chake.Yanga , mpiraa ni uwanjani acheni kucheza magazetini
Klabu bingwa ya Tanzania Yanga pamoja Na kucheza Mpira kwenye magazeti zaidi Leo wameshindwa Kwa Mara nyingine tena kuutumia vena uwanja wa nyumbani.Yanga Wa kimataifa zaidi wamezidi kuwaonyesha Watanzania kuwa wao Kwa kucheza mpira Na Magazeti ni hatari sana kuliko kucheza uwanjani.Ukisoma magazeti ya Leo utaamini kuwa timu yacGhana itafungwa magoli mengi sana kumbe ni kinyume chake.Yanga , mpiraa ni uwanjani acheni kucheza magazetini
Mkuu Ngoma, Chirwa na Kamusoko leo hawakucheza? Naomba nifahamishe kwani naandika hii post nikiwa huku " maporini " kabisa.
Tunasubiri zamu ya Simba kesho.Klabu bingwa ya Tanzania Yanga pamoja Na kucheza Mpira kwenye magazeti zaidi Leo wameshindwa Kwa Mara nyingine tena kuutumia vena uwanja wa nyumbani.Yanga Wa kimataifa zaidi wamezidi kuwaonyesha Watanzania kuwa wao Kwa kucheza mpira Na Magazeti ni hatari sana kuliko kucheza uwanjani.Ukisoma magazeti ya Leo utaamini kuwa timu yacGhana itafungwa magoli mengi sana kumbe ni kinyume chake.Yanga , mpiraa ni uwanjani acheni kucheza magazetini
Mataifa ya wapi?
Mkija toboa mnyama kesha pita tena kitaaaaambo, natilia mkazo neno TENA.Tutatoboa tu muda bado