Yanayowapata Yanga yanaweza kuwakuta na simba

Nimesikia kocha wa Simba ameenda kwao likizo sasa swali je atarudi tena :becky:

Poleni Simba na muache tabia ya kununua mechi mnaona sasa mnaumbuka.
 
Last edited by a moderator:
Unakompeyaje vitu visivyofanana?Hata siku moja yanayowapata yanga hawawezi kupata simba kwa mfano yanga wanaweza kuwapita simba kwenye ligi kwa pointi kama simba wamelala vile,yanga anachukua ubingwa wa afrika mashariki nje ya tanzania simba hawawezi ,yanga wanasajili wachezaji kwa umakini ,simba ina wasajili kwa kuwapakatia,ni mambo mengi sana wanayowapata yanga simba hawawezi kuyapata.

Simply,

SIMBA ≠ YANGA
yanga ni yanga bwana sio simba mzee wa kuhonga
 
huu uzi wa Nakapanya siji kuhusahau,aliyotabili ndiyo yanayotokea sasa
bila shaka nakapanya ndiye mchawi wa soka la bongo
 
huu uzi wa Nakapanya siji kuhusahau,aliyotabili ndiyo yanayotokea sasa
bila shaka nakapanya ndiye mchawi wa soka la bongo

Yaliyowakuta Yanga ni nusu shari, yale ya Simba ni shari kamili. 'Heri ya ... shari kuliko ... kamili.
 
Hizi ni Karama...
Unaweza kukuta Mkuu Nakapanya anahangaika na ajira nyingine ambazo hazimletei tija wala nini wakati angemrithi Sheikh Yahya miezi 6 tu na yeye angenunua Chevrolet ya milango 6.
 
Back
Top Bottom