Yanayowapata Yanga yanaweza kuwakuta na simba

hauwezi kuwa juu siku zote sababu utabiri ushafika mwisho au kuna sehemu amesema yakitoka kwa simba yatahamia yanga tena?

Hisipokuwa juu,maana yake utabiri haukufanikiwa.Hii thread ipo kwenye peak,hisipokuwa juu maana yake matokeo yameenda kinyume(sahau hilo).
 
Tangu kuanza kwa ligi kuu ya vodacom Tanzania bara Yanga imecheza takribani mechi tatu za ugenini(nisahihishwe kama nimekosea),katika mechi hizo kafungwa mechi mbili(Mtibwa na Kagera sugar) na wametoa droo mechi kama moja hv(Tanzania Prisons),na Yanga wamecheza mechi takribani mbili katika uwanja wao wa nyumbani(DSM) na wakashinda moja na kutoka sare moja.ukiangalia kwa mwenendo huu inaonyesha wazi kabisa kuwa pafomansi ya yanga katika mechi za ugenini nmi wabovu sana.Ka kuangalia hili naona wazi kabisa linaweza kutokea KWA TIMU YA SIMBA ambao tangu mwanzo a ligi mechi zao zote wamecheza DSM na kuwa na matokeo ya kufurahisha.
hofu yangu inakuja pale amb a[po simba na wao watakapoanza kucheza mechi katika viwanja vya ugenini,je hayatawakutab kama haya yanayowakuta Yanga hivi sasa?
Ulisema kweli aisee.BRAVO.
 
Huyu mwanzisha uzi huu ni mchawi au?Hapana.Ni rahisi sana kutabiri yatakayojiri kwa timu zetu za soka hata timu yetu ya Taifa pia.
 
Back
Top Bottom