Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,789
Habari zenu
Je, umewai safiri ukaka siti moja na mtu anayenunua vitu kila sehemu au mwenye mtoto na kama ndio ilikuwaje?
Mimi naaza nilikaa na mtu anakula vibaya yaani kila kituo ananunua kitu mara mahindi ya kuchoma mara mahindi ya kuchemsha wakati lile la kuchoma hajamaliza kula mara mayai mara ndizi maziwa yaani na vyote anakula halafu sasa akaaza kujiongelesha ase nilikaa kimya nikamkata jicho hakurudia tena kuongea