Yanayotokea Jumamosi Usiku na Jumapili asubuhi

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,891
155,891




Hii ni kweli kabisa wengi wetu tunakesha club kisha asubuhi tunaenda kuuza sura kanisani.

Ufunuo 3:15-16 unasema
15 Nayajua matendo yako, ya kuwa hu baridi wala hu moto; ingekuwa heri kama ungekuwa baridi au moto.
16 Basi, kwa sababu una uvuguvugu, wala hu baridi wala moto, nitakutapika utoke katika kinywa changu.
 
Mie nikikesha club ka jana, huwa siend chachi the next mornie
 
Laana kila kukicha, jamaa anakula live halafu asubuhi wanazuka Church, kama vile Mungu analala,
 
Ciello na Bujibuji kuweni makini sana na mwenendo wenu, mnaweza mkajikuta mnaangukia kwenye mapenzi ya kuumizana mioyo
 
Last edited by a moderator:
:biggrin1: na kwanini mchg akiongeza dakika 30 zaidi za mahubiri watu wananuna kanisani lakini club ikifunguliwa mpaka asubuhi watu hawalalamiki?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…