Yanayotendeka kwenye fungate(Honeymoon) unayajua?

Duh Chinga umemaliza yote

Sipati picha hapo kwenye red- tuko chumba cha honeymoon namwambia- mpenzi mume wangu wajua nimetembea na Best Man siku mbili kabla ya arusi!! mh
hapa mwanamke atakuwa anajidhalilisha!:D
 
Binafsi nafikiri Honeymoon ni kipindi cha ukweli na uwazi kwa kila kitu kuanzia suala zima la mapenzi, tabia mbaya na nzuri za kila mmoja, kujifunza kubebeana mizigo na maisha kwa ujumla. unajua unapooa au kuolewa hutakiwi kufikiria kuachana so kipindi hiki ni kizuri cha kujifunza kuwa hakuna aliye perfect na kukubali kujifunza mazuri na mabaya ya mwenzi wako na kuwa tayari kuyabeba. Unajua mtu yoyote ambaye hamjalelewa wala kuzaliwa familia moja lazima muwe tofauti kwa kila kitu sasa nafikiri katika kipindi hiki cha uwazi na ukweli utawafanya muunde tabia yenu namaanisha TABIA YAKE + TABIA YAKO = TABIA YENU.

Tchao
Chinga1
Chinga, ndo najifunza leo kwamba you are perfectly brewed, and tasty!
Katika uliyoongea, hakuna la kubandua, hata nukta...Nadhani ndoa yako ina amani japo ile minimum!
 
Binafsi nafikiri Honeymoon ni kipindi cha ukweli na uwazi kwa kila kitu kuanzia suala zima la mapenzi, tabia mbaya na nzuri za kila mmoja, kujifunza kubebeana mizigo na maisha kwa ujumla. unajua unapooa au kuolewa hutakiwi kufikiria kuachana so kipindi hiki ni kizuri cha kujifunza kuwa hakuna aliye perfect na kukubali kujifunza mazuri na mabaya ya mwenzi wako na kuwa tayari kuyabeba. Unajua mtu yoyote ambaye hamjalelewa wala kuzaliwa familia moja lazima muwe tofauti kwa kila kitu sasa nafikiri katika kipindi hiki cha uwazi na ukweli utawafanya muunde tabia yenu namaanisha TABIA YAKE + TABIA YAKO = TABIA YENU.

Tchao
Chinga1
kweli kabisa....!hasa kwenye hizi FAMILY MARRIAGES.ndoa ambazo kijana akidhani anahitaji kuoa anamwambia mzazi,then mzazi anatafuta mke kwa ajili yake...!hao watahitaji honeymoon.

ndoa za ki-mjini mjini ambazo mtu anakaa na mwanamke five years,AU ANAZAA NA MWANAMKE THEN ANAOA...au anafunga ndoa mwanamke mjamzito...!HONEYMOON ITAKUWA NI KUPOTEZEANA MUDA,PESA NA KUKAMILISHA RATIBA!...tuwe wakweli
 
Mi honeymoon ilikuwa kula kidude tu na kutoa stress...mambo yote ya MSINGI tulishayaongea na kuyaongea enzi za uchumba....

actually siku hizi, wengine wanatumia honeymoon kwa ajili ya mapumziko hasa baana ya a very arduous marriage preparations. Simu zinazimwa kabisa.

Niseme tu mimi pia sipendi utamaduni wa kuwatembelea maharusi kwenye fungate/honeymoon zao. wanatakiwa wapumzike. sio muda wa ndugu na wapambe kwenda kuulizia nauli za kurudi makwao jamani!

katika hali halisi, sio kila mtu anaishi maisha ambayo anaweza kusema tu anaoa na akapewa labda mwezi wa kupumzika. Kuna majukumu ya kikazi na sio kuwa ofisi zote ziko so generous....

Kila siku inatakiwa kuwa honeymoon essentially....at least ionekane ivo

MJ1....
 
Ni wakati wa kukaa pamoja kwa muda mrefu na kufanya mapbo mengine yanayofanana na mapenzi..Fungate imewekwa kwa kuwa wanandoa wengi wanakuwa katika mjukumu mbalimbali hivyo kufanya kila mmoja kuwa bize na kuwa na muda mchache wa kuwa pamoja..Kwahiyo kweny fungate ndio kipindi pekee cha kufurahia ndoa kwa kuwa pamoja kwa masaa yote 24 kwa siku.
 
twende kazi.....:D
 
Na hapo kwenye red ndo unataka kusemaje?
 
Ni wakati wa kukaa pamoja kwa muda mrefu na kufanya mapbo mengine yanayofanana na mapenzi..Fungate imewekwa kwa kuwa wanandoa wengi wanakuwa katika mjukumu mbalimbali hivyo kufanya kila mmoja kuwa bize na kuwa na muda mchache wa kuwa pamoja..Kwahiyo kweny fungate ndio kipindi pekee cha kufurahia ndoa kwa kuwa pamoja kwa masaa yote 24 kwa siku.
...sio kweli!kwa mtizamo huo ndoa nyingi zitavunjika MARA TU BAADA YA HNYMN!
ndoa iwe furaha maisha yenu yote,SIO HNYMN TU
 
Enhee endeleeni kunipa maujuzi hapa ya what to do on my honeymoon nikiolewa (na thats if nitaolewa wanaume adimu siku hizi..........)
Shusheni points wakuu
 
Point of correction babygal
Wanaume na waoaji wako tele waume wa ndoa ndo adimu ati
 
Nadhani huyu anahitaji MUME na sio MWANAUME tu. na pia nadhani babygal JS yupo tayari kuwa MKE na sio MWANAMKE tu.

asante.

weitaaaaa
 
honeymoon IS THE STATE OF ONESELF-MIND!...otherwise hatuhitaji sana kizazi hichi.nimeishi uchumba na wife over five years...!sasa nitaongea nae kipi kipya?...

haaa karibu kilabuni mweh....hngera pia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom