Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Sasa Lemutuz alipofungwa Mandela ulikuwa unafurahi kumbe
Expectation zingine ni too much..... LoohhKilichokuwa pia kinawapa jeuri ni pesa za walipa kodi walizokuwa wanapata enzi za jk ambazo hazikuwa na kazi..ni aibu kutiwa ndani kwa kumtukana Kiongozi wa nchi ambaye africa na dunia nzima
nzima imemuelewa pamoja na mapungufu machache japo wao upinzani pia walisema wanahitaji wa aina hii..na ndio maana hata Joshua nasari hana muda wa kufika mahakamani..hata msigwa Rafiki yake hajawai hata kugusa huko...jiulize why?? Ni kwamba magufuli ni mpango wa mungu..si kila mpinzani ni boya..wengine ni wazalendo na wamekubali mwelekeo wa nchi kwa 70%..kwao ni bora sasa kuliko huko tulikotoka..japo nao walinufaika
Bahati nzuri na yeye ni kichwa maji. Tuone mwisho wa hii sarakasi
***Kama ni hivyo [HASHTAG]#ReleaseLema[/HASHTAG]. Hana makosa
Na anae tumia nguvu nyingi kupambana na mjinga anaitwaje?Tanzania hatupendagi Ujinga. Lema ni mwanasiasa wa kwanza kutamka maneno ya kijinga na kwa hali hiyo lazima aonje shubiri.
Hahahaha , Huyu ndiye mbunge wetu chaguo letu ,tupo naye bega kwa bega , hamtutoi kwenye reli ,viva lema viva pipozz.Ni zaidi ya mwezi sasa Godbless Lema haoni jua isipokuwa kwa masaa machache tu anapopelekwa mahakamani. Wapo wanaolalamika kuwa Lema kakaa muda mrefu sana mahabusu ilhali kesi yake ina dhamana. Malalamiko haya yanatokana tu na hisia zao na si uhalisia kisheria.
Mara zote tunawasikia wafuasi wa chadema na viongozi wao wakijigamba kuwa "Tutawapiga Mahakamani". Kwamba, wao wana mawakili bora sana hapa Tanzania na kwa hiyo kiongozi au mfuasi yeyote wa chadema anaweza kusema ama kufanya lolote kwani kisheria Serikali haina nguvu. Hizi ni dharau za hali ya juu sana ambazo kwa hakika zinapaswa kukomeshwa.
Lema yupo Mahabusu sasa. Haijulikani lini atatoka kwa vile uzito wa mashtaka yanayomkabili ni mkubwa sana. Kesi zinazomkabili zinachukuliwa kwa uzito mkubwa sana kwa sababu ametoa kauli ambazo si tu hazikupaswa kutolewa na mtu kama yeye bali hata na mtu mwingine yeyote.
Kumzulia kifo Mkuu wa nchi ni kosa la uhaini ambalo kwa nchi nyingine huchukuliwa kwa uzito mkubwa sana na adhabu yake ni kifo. Sina hakika kwa sheria za hapa kwetu. Hii ni kwa sababu unaposema Mkuu wa nchi atakufa kabla ya muda fulani maana yake ni kwamba wewe mwenyewe unaingilia Malmala ya Mungu ambaye ametanabaisha kwenye vitabu vyake kuwa hakuna ajuaye siku wala saa ya mtu kuondoka duniani isipokuwa Yeye.
Rais kama Mkuu wa nchi anao maadui wengi hasa kwa huyu ambaye kila uchwao anatumbua. Kupitia kauli ya Lema maadui wa Rais wanaweza kutembea na maneno yake na wakafanikisha mauaji ya Rais ili watu waamini kuwa alichoongea Lema kimetimia.
Pia ikiwa Lema ataachwa huru, anaweza kushiriki kwenye mipango ya kumdhuru Rais ili tu kutimiza maono yake. Lema si wa kispot kispot. Ameshiriki matukio mengi makubwa ambayo kama yakiwekwa hapa hadharani hakika hakuna atakayemuamini Lema. Msifikiri ni masihara pale watu wanaposema kuwa kazi yake ya mwanzo kabla hajawa Mbunge ni ya kutisha sana. Si masihara hata kidogo.
Mkumbuke kuwa kwenye kurasa zao za Facebook wafuasi wengi wa CHADEMA wanatamani Rais afe hata leo kitu ambacho kwa hakika si kizuri.
Yanayomkuta Lema yawe fundisho kwa wengine. Kipindi hiki tu cha Lema kuwa Mahabusu naona nidhamu imeanza kurejea. Zitto Kabwe katelekeza Akaunti yake ya Twitter tangu Oktoba 21. Ni akaunti hiyo ndiyo aliyokuwa anatumia kuandika mabaya dhidi ya Rais.
Julius Mtatiro naye kaamua kurejea kazi yake ya awali ya uchambuzi. Biashara ya kumshambulia Rais hailipi.
Tundu Lissi naye kaamua kujirekebisha. Aliahidi kupambana na Rais kiangazi na masika ila kwa yanayomkuta Lema hakika hathubutu tena. Kikubwa zaidi ni pale Lissu alipojiengua kumtetea Lema baada ya kuona uzito wa kesi yenyewe.
Naamini kuwa wanasiasa wataendelea kujifunza kupitia sakata hilo la Lema.
Ni zaidi ya mwezi sasa Godbless Lema haoni jua isipokuwa kwa masaa machache tu anapopelekwa mahakamani. Wapo wanaolalamika kuwa Lema kakaa muda mrefu sana mahabusu ilhali kesi yake ina dhamana. Malalamiko haya yanatokana tu na hisia zao na si uhalisia kisheria.