Yanayomkuta Lema yawe fundisho kwa wanasiasa wengine

bora lema aliota na wenye kutaka kumfanyia mabaya na wasiseme hadharani hii nayo imeekaaje siasa za kiafrica kwer ni udikteta ............
 
Ushamba mzigo
mfalme Mataputapu na wewe kwa hakika ipo siku MTAKUFA hata kama Lema amesema au la
So what's the big deal as you are not omnipotent
s.coot
 
khaaa..

As if unadhani lema anaogopa jela

Lema isn't a coward

Lema is right and he said the right thing

Weka k umbukumbu zako sawa...sio utamaduni wa Lema kuogopa vitisho na jela zenu.

In fact kwa nchi za kiafrika wanasiasa wa upinzani kuwekwa Jela ni kawaida

Rest assured Lema akitoka huko usidhani kwamba ndio mtakuwa mmemziba mdomo

Lema is fighting against the same dictatorial African Regimes
Mahabusu tu inamtoa jasho kuomba dhamana sembuse jela yenyewe!!! Analijua joto la huko.
 
Hhahahahahaha........Unadhani kuomba dhamana imefanyika tu kwa kukurupuka?

Ili rekodi ziwe sawa lazima aombe dhamana kwanza

Alafu kwakuwa sizonje akili yake iko shoti shoti ata influence anyimwe...na ndicho kilichofanyika

Rekodi lazima ziwekwe sawa mkuu

Ukidhani unamkomoa Lema kwa kumpeleka jela unakosea
 
Mahaba niue.
Jana ITV habari wamesema mawakili wake hawakufuata taratibu, waliwasilisha "ombi" la dhamana nje ya muda unaotakiwa.
 
Akili za wanaukawa huwa nazishangaa sana, yaani sijui nani kawaroga.
 
Lema kashawashinda, hata mkiitisha uchaguzi leo yeye akiwa gelezani atawagaragaza tena vibaya!!
 
Ni zaidi ya mwezi sasa Godbless Lema haoni jua isipokuwa kwa masaa machache tu anapopelekwa mahakamani. Wapo wanaolalamika kuwa Lema kakaa muda mrefu sana mahabusu ilhali kesi yake ina dhamana. Malalamiko haya yanatokana tu na hisia zao na si uhalisia kisheria.

Mara zote tunawasikia wafuasi wa chadema na viongozi wao wakijigamba kuwa "Tutawapiga Mahakamani". Kwamba, wao wana mawakili bora sana hapa Tanzania na kwa hiyo kiongozi au mfuasi yeyote wa chadema anaweza kusema ama kufanya lolote kwani kisheria Serikali haina nguvu. Hizi ni dharau za hali ya juu sana ambazo kwa hakika zinapaswa kukomeshwa.

Lema yupo Mahabusu sasa. Haijulikani lini atatoka kwa vile uzito wa mashtaka yanayomkabili ni mkubwa sana. Kesi zinazomkabili zinachukuliwa kwa uzito mkubwa sana kwa sababu ametoa kauli ambazo si tu hazikupaswa kutolewa na mtu kama yeye bali hata na mtu mwingine yeyote.

Kumzulia kifo Mkuu wa nchi ni kosa la uhaini ambalo kwa nchi nyingine huchukuliwa kwa uzito mkubwa sana na adhabu yake ni kifo. Sina hakika kwa sheria za hapa kwetu. Hii ni kwa sababu unaposema Mkuu wa nchi atakufa kabla ya muda fulani maana yake ni kwamba wewe mwenyewe unaingilia Malmala ya Mungu ambaye ametanabaisha kwenye vitabu vyake kuwa hakuna ajuaye siku wala saa ya mtu kuondoka duniani isipokuwa Yeye.

Rais kama Mkuu wa nchi anao maadui wengi hasa kwa huyu ambaye kila uchwao anatumbua. Kupitia kauli ya Lema maadui wa Rais wanaweza kutembea na maneno yake na wakafanikisha mauaji ya Rais ili watu waamini kuwa alichoongea Lema kimetimia.

Pia ikiwa Lema ataachwa huru, anaweza kushiriki kwenye mipango ya kumdhuru Rais ili tu kutimiza maono yake. Lema si wa kispot kispot. Ameshiriki matukio mengi makubwa ambayo kama yakiwekwa hapa hadharani hakika hakuna atakayemuamini Lema. Msifikiri ni masihara pale watu wanaposema kuwa kazi yake ya mwanzo kabla hajawa Mbunge ni ya kutisha sana. Si masihara hata kidogo.

Mkumbuke kuwa kwenye kurasa zao za Facebook wafuasi wengi wa CHADEMA wanatamani Rais afe hata leo kitu ambacho kwa hakika si kizuri.

Yanayomkuta Lema yawe fundisho kwa wengine. Kipindi hiki tu cha Lema kuwa Mahabusu naona nidhamu imeanza kurejea. Zitto Kabwe katelekeza Akaunti yake ya Twitter tangu Oktoba 21. Ni akaunti hiyo ndiyo aliyokuwa anatumia kuandika mabaya dhidi ya Rais.

Julius Mtatiro naye kaamua kurejea kazi yake ya awali ya uchambuzi. Biashara ya kumshambulia Rais hailipi.

Tundu Lissi naye kaamua kujirekebisha. Aliahidi kupambana na Rais kiangazi na masika ila kwa yanayomkuta Lema hakika hathubutu tena. Kikubwa zaidi ni pale Lissu alipojiengua kumtetea Lema baada ya kuona uzito wa kesi yenyewe.

Naamini kuwa wanasiasa wataendelea kujifunza kupitia sakata hilo la Lema.
Tatizo unafikili hizi zama za chama kimoja, na nakuongezea tu binadamu ana akili, ufahamu, hisia na mawazo hayo tu yanamfanya kujifunza, kuwa jasili, kutoogopa na kadhalika. Sasa kwa uwezo wako mdogo umejua hilo ni somo, wakati wenzako wanachukulia kama changomoto. Usiombe itokee muoga akapata ujasili, usiombe anakuwa tayari kwa lolote. Hapa kilichozaliwa ni uhasama wa kuzidi kati ya wanyonge na wenyenguvu, subili muda utakuambia.
 
Ni zaidi ya mwezi sasa Godbless Lema haoni jua isipokuwa kwa masaa machache tu anapopelekwa mahakamani. Wapo wanaolalamika kuwa Lema kakaa muda mrefu sana mahabusu ilhali kesi yake ina dhamana. Malalamiko haya yanatokana tu na hisia zao na si uhalisia kisheria.

Mara zote tunawasikia wafuasi wa chadema na viongozi wao wakijigamba kuwa "Tutawapiga Mahakamani". Kwamba, wao wana mawakili bora sana hapa Tanzania na kwa hiyo kiongozi au mfuasi yeyote wa chadema anaweza kusema ama kufanya lolote kwani kisheria Serikali haina nguvu. Hizi ni dharau za hali ya juu sana ambazo kwa hakika zinapaswa kukomeshwa.

Lema yupo Mahabusu sasa. Haijulikani lini atatoka kwa vile uzito wa mashtaka yanayomkabili ni mkubwa sana. Kesi zinazomkabili zinachukuliwa kwa uzito mkubwa sana kwa sababu ametoa kauli ambazo si tu hazikupaswa kutolewa na mtu kama yeye bali hata na mtu mwingine yeyote.

Kumzulia kifo Mkuu wa nchi ni kosa la uhaini ambalo kwa nchi nyingine huchukuliwa kwa uzito mkubwa sana na adhabu yake ni kifo. Sina hakika kwa sheria za hapa kwetu. Hii ni kwa sababu unaposema Mkuu wa nchi atakufa kabla ya muda fulani maana yake ni kwamba wewe mwenyewe unaingilia Malmala ya Mungu ambaye ametanabaisha kwenye vitabu vyake kuwa hakuna ajuaye siku wala saa ya mtu kuondoka duniani isipokuwa Yeye.

Rais kama Mkuu wa nchi anao maadui wengi hasa kwa huyu ambaye kila uchwao anatumbua. Kupitia kauli ya Lema maadui wa Rais wanaweza kutembea na maneno yake na wakafanikisha mauaji ya Rais ili watu waamini kuwa alichoongea Lema kimetimia.

Pia ikiwa Lema ataachwa huru, anaweza kushiriki kwenye mipango ya kumdhuru Rais ili tu kutimiza maono yake. Lema si wa kispot kispot. Ameshiriki matukio mengi makubwa ambayo kama yakiwekwa hapa hadharani hakika hakuna atakayemuamini Lema. Msifikiri ni masihara pale watu wanaposema kuwa kazi yake ya mwanzo kabla hajawa Mbunge ni ya kutisha sana. Si masihara hata kidogo.

Mkumbuke kuwa kwenye kurasa zao za Facebook wafuasi wengi wa CHADEMA wanatamani Rais afe hata leo kitu ambacho kwa hakika si kizuri.

Yanayomkuta Lema yawe fundisho kwa wengine. Kipindi hiki tu cha Lema kuwa Mahabusu naona nidhamu imeanza kurejea. Zitto Kabwe katelekeza Akaunti yake ya Twitter tangu Oktoba 21. Ni akaunti hiyo ndiyo aliyokuwa anatumia kuandika mabaya dhidi ya Rais.

Julius Mtatiro naye kaamua kurejea kazi yake ya awali ya uchambuzi. Biashara ya kumshambulia Rais hailipi.

Tundu Lissi naye kaamua kujirekebisha. Aliahidi kupambana na Rais kiangazi na masika ila kwa yanayomkuta Lema hakika hathubutu tena. Kikubwa zaidi ni pale Lissu alipojiengua kumtetea Lema baada ya kuona uzito wa kesi yenyewe.

Naamini kuwa wanasiasa wataendelea kujifunza kupitia sakata hilo la Lema.

in summary, serikali ina nguvu sanahata za kunyanganya haki za wenye haki, chadema inao wana sheria wazuri ila katika hili sheria haina nafasi bali nguvu na mamlaka!!!!!!!.......
(masikitiko ya ziada ni kwamba kuna watu 9 waliomkpa like!!....yahani nao wanafikitia kama wewe)
 
Wewe jamaa una chuki sana na Mh,Lema bila kuanzisha uzi unaomuhusu Lema,

Na kumsemea mabaya nafsi yako hairidhiki na hiyo hulka ni mbaya sana ,

Fanya mambo kwa kiasi na kuficha upumbavu wako .
 
Mandela alifungwa miaka27 funzo walipata makaburu sio Mandela hivo hivo kuwekwa lema ndani ipo siku dictator uchwara atapata funzo
 
kwanza umepata matokeo ya uchaguz gambia? japokua mwenzenu ni dikteta lakiin hajafuta matokeo...sasa nyie endeleen ivyoiyo tu hata shetan ataokoka atawaacha
 
Acha upumbavu kwani kifungo ni kifo?alifungwa mandela nini ajabu?hangaikeni na serikali lenu ambalo limewashinda na kila mfanyabiashara,mfanyakazi,mkulima wamelipa kisogo,swali ni je kama ndoto ya lema ikatimia na lema akiwa bado ndani mtafanya nini?mtu mwenyewe anatafuta mtu wa kufa naye.
Mmmmhhhh!!!
Kweli kazi ipo-kwa style hii.
Ushabiki Uchwara.
 
Hivi wakina mramba,yona na wengineo walipitia hiyo...elewa jela Haina mwenyewe hata we unaweza kuingia huko

OVA
Hivi ule utaratibu wa maaskari magereza kuwakagua mahabusu kila wakiingia magerezani bado upo?
Utaratibu ule unadharirisha sana mahabusu na wafungwa,utaratibu mbaya sana, yaani mahabusu anavua nguo anakaguliwa sehemu za haja kubwa ili kukagua kama hajaficha vitu visivyotakiwa kuingia navyo mahabusu kama sigara na bangi,halafu unakuta mahabusu wengine ni waheshimiwa.
 
wasiojua sheria wanaendelea kumpotosha Lema badala ya kumwambia ukweli.Kumtabiria mtu kifo ni sawa kabisa na kupanga mauaji ya mtu huyo. Wachache wenye akili hasa wa chama chake wameshajua kuwa kesi hii ni kubwa na ndiyo maana wameamua kujiweka pembeni.
 
Wanasiasa wengine wajifunze kuwa majasili Kama LEMA
Ni zaidi ya mwezi sasa Godbless Lema haoni jua isipokuwa kwa masaa machache tu anapopelekwa mahakamani. Wapo wanaolalamika kuwa Lema kakaa muda mrefu sana mahabusu ilhali kesi yake ina dhamana. Malalamiko haya yanatokana tu na hisia zao na si uhalisia kisheria.

Mara zote tunawasikia wafuasi wa chadema na viongozi wao wakijigamba kuwa "Tutawapiga Mahakamani". Kwamba, wao wana mawakili bora sana hapa Tanzania na kwa hiyo kiongozi au mfuasi yeyote wa chadema anaweza kusema ama kufanya lolote kwani kisheria Serikali haina nguvu. Hizi ni dharau za hali ya juu sana ambazo kwa hakika zinapaswa kukomeshwa.

Lema yupo Mahabusu sasa. Haijulikani lini atatoka kwa vile uzito wa mashtaka yanayomkabili ni mkubwa sana. Kesi zinazomkabili zinachukuliwa kwa uzito mkubwa sana kwa sababu ametoa kauli ambazo si tu hazikupaswa kutolewa na mtu kama yeye bali hata na mtu mwingine yeyote.

Kumzulia kifo Mkuu wa nchi ni kosa la uhaini ambalo kwa nchi nyingine huchukuliwa kwa uzito mkubwa sana na adhabu yake ni kifo. Sina hakika kwa sheria za hapa kwetu. Hii ni kwa sababu unaposema Mkuu wa nchi atakufa kabla ya muda fulani maana yake ni kwamba wewe mwenyewe unaingilia Malmala ya Mungu ambaye ametanabaisha kwenye vitabu vyake kuwa hakuna ajuaye siku wala saa ya mtu kuondoka duniani isipokuwa Yeye.

Rais kama Mkuu wa nchi anao maadui wengi hasa kwa huyu ambaye kila uchwao anatumbua. Kupitia kauli ya Lema maadui wa Rais wanaweza kutembea na maneno yake na wakafanikisha mauaji ya Rais ili watu waamini kuwa alichoongea Lema kimetimia.

Pia ikiwa Lema ataachwa huru, anaweza kushiriki kwenye mipango ya kumdhuru Rais ili tu kutimiza maono yake. Lema si wa kispot kispot. Ameshiriki matukio mengi makubwa ambayo kama yakiwekwa hapa hadharani hakika hakuna atakayemuamini Lema. Msifikiri ni masihara pale watu wanaposema kuwa kazi yake ya mwanzo kabla hajawa Mbunge ni ya kutisha sana. Si masihara hata kidogo.

Mkumbuke kuwa kwenye kurasa zao za Facebook wafuasi wengi wa CHADEMA wanatamani Rais afe hata leo kitu ambacho kwa hakika si kizuri.

Yanayomkuta Lema yawe fundisho kwa wengine. Kipindi hiki tu cha Lema kuwa Mahabusu naona nidhamu imeanza kurejea. Zitto Kabwe katelekeza Akaunti yake ya Twitter tangu Oktoba 21. Ni akaunti hiyo ndiyo aliyokuwa anatumia kuandika mabaya dhidi ya Rais.

Julius Mtatiro naye kaamua kurejea kazi yake ya awali ya uchambuzi. Biashara ya kumshambulia Rais hailipi.

Tundu Lissi naye kaamua kujirekebisha. Aliahidi kupambana na Rais kiangazi na masika ila kwa yanayomkuta Lema hakika hathubutu tena. Kikubwa zaidi ni pale Lissu alipojiengua kumtetea Lema baada ya kuona uzito wa kesi yenyewe.

Naamini kuwa wanasiasa wataendelea kujifunza kupitia sakata hilo la Lema.
 
wasiojua sheria wanaendelea kumpotosha Lema badala ya kumwambia ukweli.Kumtabiria mtu kifo ni sawa kabisa na kupanga mauaji ya mtu huyo. Wachache wenye akili hasa wa chama chake wameshajua kuwa kesi hii ni kubwa na ndiyo maana wameamua kujiweka pembeni.
Hawajiulizi hata yule "wakili msomi" inakuaje kaweka gundi mdomoni hapa?? Anajua ukubwa wa hii ishu.
 
Back
Top Bottom