Yanayojiri Sehemu mbali mbali Kulekea Uchaguzi serekali Za Mitaa 2019

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,277
9,912
Kumekuwa na malalamiko mengi toka sehemu mbalimbali kuhusu uchaguzi huu hasa vyama vya upinzani.

malalamiko mengi yameelekezwa kwa watendaji wa Kata ambao ndiyo wasimamizi wa chaguzi hizi.

Ikumbukwe kuwa tarehe 2 sept,2019 Rais John Magufuli alifanya kikao na watendaji wote nchi nzima je kuna nini walielekezwa? Kwanini wao ndiyo wameonekana wanavuruga uchaguzi?

Je ni woga wa ccm kuelekea uchaguzi?

Nashauri vyama vya upinzani vishiriki uchaguzi huu pamoja na figisu watakazofanyiwa lakini kushiriki chaguzi hizi zitatoa tadwira ya muelekeo wa uchaguzi mkuu ujao hivyo kupata fursa ya kujipanga.

Screenshot_2019-11-02-05-15-05.jpeg
Screenshot_2019-11-02-05-18-50.jpeg
Screenshot_2019-11-02-05-10-00.jpeg
Screenshot_2019-11-02-05-14-45.jpeg
Screenshot_2019-11-02-05-08-41.jpeg
Screenshot_2019-11-02-05-11-09.jpeg
IMG_20191102_051717.jpeg
Screenshot_2019-11-02-05-18-05.jpeg
Screenshot_2019-11-02-05-21-02.jpeg
Screenshot_2019-11-02-05-15-38.jpeg
 
Back
Top Bottom