Rais Magufuli azindua barabara ya KIA hadi mji wa Mererani, Awataka JWTZ kujenga Ukuta kuzunguka Machimbo ya Tanzanite

Acha amalizie viporo alivyoacha JK kidume kilichojua kutafuta fedha. Miradi ya maendeleo ilikuwepo (Umeme mpaka vijijini,barabara,madaraja,shule,zahanati,hospitalin.k) licha ya kuwepo ufisadi,posho za kufa mtu ,wafanyakzi hewa na bado mishahara ilikuwa inapanda kila mwaka.

Tunasubiria vya kwake na stahili yake ya vita ya uchumi akipambana na Manji
 
Tutasikia jibu leo lile la juzi la mkulu mstaaa kuhusu mbwa kubweka.
 
Habari waungwana,
View attachment 592052
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli ameshatua uwanja wa ndege wa Kilimanjaro na kupokelewa na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Mama Anna Elisha Mngwira. Muda mchache ujao anatarajiwa kuzindua barabara ya KIA mpaka Mererani.

Fuatana nami kujua yanayojiri..
real recognize real
 
Back
Top Bottom