Maisha bora ni mipango na jitihada zako.
Kwani anayoahidi Slaa na Mbowe lipo hata moja walilofanikisha kwa asilimia 70 ?
Sikuhitaji ahadi za CCM au chama chochote kujitengenezea maisha bora... yes nina maisha bora ukilinganisha na 2005, 2010 lakini kwa juhudi zangu... Na ukweli utaendelea kuwa hivyo daima.
Mlemavu wewe unayesubiri.watu wanamaiaha bora kabla hata ta hizo barabara na hospitali unazosemea wewe,sasa kwa akili zako za mtumba,endelea kuisubiri serikali.[/QUOTE
akili kisoda nguvu kontena inamaa kodi yako inafanya nini
Mbona unajaa povu kiboyaboya tu, hiyo serikali unayoisemea imekufanyia nini wewe binafsi hadi sasa? Komaa acha kijilegeza mtoto wa kiume
Mbona unajaa povu kiboyaboya tu, hiyo serikali unayoisemea imekufanyia nini wewe binafsi hadi sasa? Komaa acha kijilegeza mtoto wa kiume
kweli wewe ni zuzu
kweli wewe ni zuzu
Sikuzidi wewe
Sikuzidi wewe
asante kwa kukubali kuwa wewe zuzu
Kwani anayoahidi Slaa na Mbowe lipo hata moja walilofanikisha kwa asilimia 70 ?
Wee kijana mvivu sana. Kula kulala tu huna jipya..angalau haka kakazi ka kutaja taja majina ya watu hapa jf ndio kanakuingizia rizikiWanasiasa hawa wa C jamii y akina Kikwete hawana uwezo wa kutimiza ahadi zao. Mwulizeni hadi leo ile ahadi ya kujenga uwanja wa ndege wa kisasa Misenyi kaanza? Au anadhani tumesahau? Ndiyo wanasiasa wanaweza kutengeneza mazingira ya mimi kupata maisha bora au mabovu. Huwezi bisha juu ya hili. Mfano wametengenezamazingira magumu ya sisi wakulima wa mahindi hapa Ruvuma kushindwa kupata haki yetu. Mimi nililima kwa nguvu zangu mwenyewe. Sasa hawa wameleta kikwazo kikubwa. Utaniambiaje nijiletee mwenyewe maisha bora wakati unaniwekea vikwazo? Nyie kina Ngongo, Simiyu na Lizaboni jitafakarini kabla ya kujibu hapa.
kama unafikiri kama sisimizi au ni ushabiki tu nawaonea huruma ndugu zako na taifa kwa ujumla. Slaa aliahidi nini akatimiza au asitimize? Aliomba ridhaa ili awe rais atumie rasilimali za taifa kwa maslahi ya taifa. Je ulimpatia? Au atimize ahadi gani na kwa mamlaka gani?
Aliahidi kufunga ndoa na rose kamili akamtelekeza akaenda kupora mke wa mtu...josephinekama unafikiri kama sisimizi au ni ushabiki tu nawaonea huruma ndugu zako na taifa kwa ujumla. Slaa aliahidi nini akatimiza au asitimize? Aliomba ridhaa ili awe rais atumie rasilimali za taifa kwa maslahi ya taifa. Je ulimpatia? Au atimize ahadi gani na kwa mamlaka gani?
Yea, yatosha kwa kumwagia watu tindikali, kuwateka na kuwalisha sumuChadema yatosha, pia ni ujinga kumtegemea mwana siasa Akupe Maisha Bora.
Aliye na maisha bora leo hii ni kwa juhudi zake tu na wala siyo kwa kudanganywa eti kapewa. Na ni kwa muktadha huo angekuwa na maisha bora hata kama chama tawala ni TANU,ASP, CCM, CUF, NCCR, UDP, UPDP, CHADEMA, au hata kama bila chama!
Kwani anayoahidi Slaa na Mbowe lipo hata moja walilofanikisha kwa asilimia 70 ?
Maisha bora ni mipango na jitihada zako.