Yanayojiri Katika Mkutano wa Dr. Slaa Igunga

Yanayojiri Katika Mkutano wa Dr. Slaa Igunga

Namnukuu Waitara Wanasheria wote wanaosimamia Kesi Zinazofunguliwa na serikali kupitia CCM hawana akili sawasawa kwani hakuna kesi waliyoshinda
 
tunataka picha kama tunazopata toka Kasulu hatutaki za mwaka juzi tunataka za leooo leooo
 

Kama Kikwete bado anapenda kuendelea kupata uhalali wa serikali yake, Pinda aondoke, wakuu wa taasisi za vyombo vya dola, JWTZ, Polisi, Usalama wa Taifa lazima wawajibike kutokana na ukatili mkubwa wa Operesheni Tokomeza Ujangili.

Hakuna anayeweza kuelewa maovu hayo kwamba yanaweza kufanywa chini ya usimamizi wa vyomb vya serikali.

View attachment 128217
 
Pamoja sana mkuu... Ukitupia picha tutashukuru sana

attachment.php


Mkuu hii ni mojawapo
 
Hivi babu (Slaa) huwa analala saa ngapi?

Swali zuri sana ambalo Yusufu Makamba aliuliza kwamba Jakaya Kikwete huwa analala saa ngapi? Rejea hotuba ya Makamba kumfagilia Kikwete asiondolewe uenyekiti wa CCM dakika chache kabla ya kura za CCM za kumchagua mwenyekiti wa CCM mwanzaoni mwa mwaka jana.

Kumbuka Makamba alisema alituma SMS kwa Jakaya Kikwete usiku wa manane na JK akamjibu kuwa "meseji imekatika nitumie tena". Makamba akauliza "Huyu Bwana huwa analala saa ngapi"?

Cc: Kurugenzi ya habari, Sweetlady, TexasTom, Aspirin, Jbitungo, 3square, Mzito Mkabwela, Mannning, Adolay, Kaunga, Makusanya, Kishindo, Bujash, Nigga, Ralphyrider, Mosad II, Jayblack, Kigene, Idimulwa, Ng'wanangwa
 

Kama Kikwete bado anapenda kuendelea kupata uhalali wa serikali yake, Pinda aondoke, wakuu wa taasisi za vyombo vya dola, JWTZ, Polisi, Usalama wa Taifa lazima wawajibike kutokana na ukatili mkubwa wa Operesheni Tokomeza Ujangili.

Hakuna anayeweza kuelewa maovu hayo kwamba yanaweza kufanywa chini ya usimamizi wa vyomb vya serikali.

View attachment 128217

kuanzia muanze kusema haya maneno mmeshaenda kunywa juice mara ngapi Ikulu? mlivyoenda kule ikulu mlimwambia hayo maneno? kama hapana unadhani kusema hapa inasadia?
 
Alikwapua zote.... Hakutoa hata shilingi moja.... Ukimuona anaandika ujinga jf ujue laana ya kutafuna rambirambi inamwandama na imeanzia kichwani

Kweli aisee...dhuluma ni mbaya sana ...huyu Chris lukosi laana inamuandama...mzimu wa mwangosi una mmaliza taratibu
 
Huyu ndiye Simba wa Tanzania.

Asante sana Igunga.
 
Bila shaka alimchukulia babako mkewe

Babangu hana wivu wa kike. Anaamini kwenye sharing is caring..... Vipi we akikuchukulia mkeo hutamind? Usijali babu anatumia kondom kwahiyo hutalea mimba ya mwanaume mwenzio.
 
Back
Top Bottom