Zitto ndio habari ya mjini,huyo muhafidhina akaungane na Bisige wa uganda ili waendeleze siasa zao za maji taka. udikteka haukubaliki Tanzani
Viva Zitto Kabwe vivaa,ng`ara Zitto ili wanafiki wapasuke,tunafanya mkutano maeneo ambayo slaa alipigwa mawe na kuokolewa na Police.
Ni dakika chache zimebakia kwa Mkutano Mkubwa wa Dr. Slaa hapa Igunga katika kiwanja cha BARAFU, Watu wameishakusanyika kwa wingi kwa ajili ya Kumsikiliza Kiongozi huyu ambae yupo MIOYONI mwa watu wa rika zote. Nipo kama kawaida kwa ajili ya kuwaletea Updates na mapicha tuwe pamoja wakuu
Wewe mwenyewe babu, sema babu ambaye ni mtupu kichwani! Mbabu mzima kama wewe unauliza masuali ya kijinga namna hii, hao wajukuu zako wana hasara
Usicheze na nguvu za babu. Akikuchukulia mkeo umekwisha.
Hivi babu huwa analala saa ngapi?
Hivi babu huwa analala saa ngapi?
Hivi babu huwa analala saa ngapi?
Usicheze na nguvu za babu. Akikuchukulia mkeo umekwisha.
hapo kwenye red,labda kama yuko kwenye moyo wa ukoo wenu pekee
Dr Wilbroad Slaa for the rest of. the Nation, The Community of Tanzanian,s. need,s you.
Hivi babu huwa analala saa ngapi?
Hivi babu huwa analala saa ngapi?
Statistical data are needed.
Hivi babu huwa analala saa ngapi?
Usihofu mkuu tutaweka