Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
siku hizi robot wa wazungu wanatengezwa kuwa na hisia ,na ware of their environment,na waweze interact na mazingira kutokana na wanayokumbana nayo ktk mzingira..inaelekea yapo mbali sana kuliko mitakataka ya ccm.Tangu lini maroboti yakawa na utashi wa kujua haya, unayaonea bure.