Huko ndani ya bunge nadhani kuna wabunge ambao wamekaa kimipasho sana. Wanastahili kuimba taarab
pia anasema kuwa Wapemba wabaguzi, na Seif ndiye aliyemchongea Jumbe kwa Nyerere. hivi ni baadhi ya vituko vya wabunge wetu.
Kwani hakuwa mnyarwanda. Maana Jenerali inajulikana wazi asili yake ni Mnyaru ana uraia wa Tanzania wa Tajinisi.hata Mheshimiwa Mkapa alishawahi kumyamazisha mwenyegazeti la rai miaka ile kuwa ni Myarwanda hii ni mipango yao maji yanapowafika shingoni!!!
Huko ndani ya bunge nadhani kuna wabunge ambao wamekaa kimipasho sana. Wanastahili kuimba taarab
Shamsi Mwangunga anajichanganya hapa anaposema kuwa Serikali ya Nchi Mbili. Nadhani angekuwa sahihi kusema kuwa Muungano wa Serikali Mbili
Hiyo ni kutokana na usaliti wa wana ccm toka zanzibar,wakiwa zenj wanadai wanataka mamlaka kamili,wakiwa bara 'wanaufyata'. mimi nawakubali sana cuf kwa kutokuwa wanafiki ... tatizo ni uccm umewapofusha.Wadau
Katika hali ya kushangaza ilitegemewa kuwa wajumbe kutoka znz wangekuwa na mshikamano wa kudai mamlaka kamili ya znz lakini.cha ajabu wameanza kutukanana na kuumbuana.
Lets wait anf see.
Jana ndio ilikuwa balaa...full mzee yusuph
Mkuu, hakika hili suala la uraia ni jambo ambalo linapaswa kufuatiliwa kwa karibu. Isije ikawa tukatawaliwa na watu wa mataifa ya nje ambao mwisho wa siku wanakuja kuitelekeza nchi hii. Mtanzania wa Kweli hawezi kutetea mfumo wa serikali mbili wala tatu bali atapendekeza serikali mojaKwa heshima na taadhima narudia tena mkuu kukusihi ujaribu kufuatilia na uraia wa kinana maana shutuma zake pia zinaenea huku mtaani.
kwani alisakamwa mara gazeti lake lilipokuwa mwiba kwa serikali wakati alishawahi kushika nafasi kubwa serikalini?Kwani hakuwa mnyarwanda. Maana Jenerali inajulikana wazi asili yake ni Mnyaru ana uraia wa Tanzania wa Tajinisi.
Duh! ya Asha Bakari yamemrudi alivyomtukana Jussa.