Siasa za Mkumbo zinatawala ndani ya bungeSugu: wenzetu tulikuwa wote mkiti wao alipohubiria wameingia mitini meli inazama basi tikiseni miguu tujue mko hai...
Siasa zako sizielewi siku hiziMbilinyi kiboko ya wahafidhina.
Hivi ni kweli Seif Sharifu alimsaliti Abdul Jumbe? Ni kweli kuwa ndiye aliyemtonya Nyerere? Kama ndivyo, yuko sahihi Zitto Z Kabwe kuwa tusiwaamini wanasiasa?? Naomba kwa mwenye taarifa na ushahidi juu ya hili auweke wazi hapa,,,,sababu iko haja ya kurijiridhisha.
Kwa hiyo wewe ulimuona Sugu ndiyo mjinga ndani ya CDM?Sugu ni issue..sasa CDM nani mjinga?