Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,520
- 2,091
sasa wameweka Ndondocha Flora mbasha na mwanaume suruali wake! khaaaaa.
Kinafuatia kikundi cha kwaya kikitupa burudani muluwa.
Hawana maana hawa
Mpaka redio wamekata matangazo
Hivi hatuwezi kupata hata soft written au hata audio
Manake hizo nondo hamna mahali pengine kabisa
ivi kweli kigwangala ana ubavu gani wa kijilinganisha na hata mjumbe mmoja wa tume ya mabadiriko ya katiba, ni kweli kigwangala ni level ya akina prof, mwesiga baregu, jaji augustino ramadhani, jaji joseph sinde warioba, prof palamagamba kabudi. nchi hii tumejaa dharau na sishangai hata kikwete alivyo jaribu kujifananisha na wasomi hawa, kikwete akipewa tuzo za uongo na NGO isiyofahamika ya kimarekani anajiona kamaliza na ni wa next level to all tanzanians, amewafanya akina kigwangala kuongea wakiwa hawana utashi kamili na ndio maana wanakumbwa na ZOMEA ZOMEA!!!!!!!!!!! muda wote ameutumia kumwogopa tundu lissu anayawasilisha maoni ya wachache