kaburu mdogo
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 567
- 400
nondo zinatemwa huku daah. narekod hatua kwa hatua ole wenu TANESCO
Naomba ukimaliza unitumie maana tbc wamenifanya mbaya leo
nondo zinatemwa huku daah. narekod hatua kwa hatua ole wenu TANESCO
Ni ajabu!Kweli nimeamini maneno ya Mh.Tundu Lisu!! aliye zoea vya kunyonga vya halali hawezi ha ha ha TBC wamekata matangazo kisa Mh anasema ya ukweli yaliyofichwa kwa miaka 50!! aliye bungeni atupe dondoo tafadhali
muungano utalindwa kwa gharama yeyote ile.lissu atasikika kwenye vijiwe vyenu vya gongo, hatuwezi kump muda hewani mchonganishi na muongo.
Baada ya gwiji la Sheria duniani Tundu A. Lissu kuuchanachana muungano, wameweka DVD inahutubia uharo. Hayo yanawezekana ndani ya ccm tu.
Hauamini ama???Una uhakika na hilo Mkuu?
TBC Radio wameweka hotuba ya Kikwete....whyyyyyyy!!!!!Jamani WHYYYYYYY
Baada ya gwiji la Sheria duniani Tundu A. Lissu kuuchanachana muungano, wameweka DVD inahutubia uharo. Hayo yanawezekana ndani ya ccm tu.
Nimesikitika Sana, nilikuwa namsikiliza Mh. Tundu lisu akongea knye bunge maalum la katiba kupitia radio, ghafla hotuba yake ikakatishwa. Huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki ya kupata habar. Arghhhhhhhhhh.....:dizzy::dizzy::dizzy: