Kama angekuwa jembe au kichwa basi tusinge shuhudia kasoro kibao ktk kanuni za bunge zinazo endelea kujadiliwa hivi sasa,makosa kibao ya kisheria ktk rasimu ya kanuni za bunge, Hilo jembe lako mbona halijalima ipasavyo?!!!! Hamna kitu mbwembwe tu.
Tundu ni jembe sana.Tuombee tu yale "mashetani" ya Ufipa yasituharibie jembe letu maana wameshaanza!!
Hapa utawadanganya misukule wenzio, So far, sijaona uwezo wala uzalendo wa Lissu, yule ni mropokaji tu kama CHADEMA wengine.
siyoo buree kuna mtu anakupapasa nyuma..
Unajua mkuu watu wanashangaza sana. Kazi anayoifanya Lissu ndani ya ile kamati nadhani ndiyo iliyoleta hata amani kidogo ndani ya Bunge hilo katika utenyenezaji wa kanuni. Lissu amewapinga hata wabunge wa chama chake na kuwapa somo katika badhi ya kanuni kwa upole na utaratibu kama anavyofanya kwa wengine.jaman kama mtu kafanya vizuri apewe sifa zake sio mpaka afe ndo tuseme, ila wengne wataponda kwa ushabiki wa chama, kweli amefanya poa na anastahili pongez san.