Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 5,897
- 10,358
Lissu ni mjumbe wa kamati iliyoandaa kanuni za uendeshaji wa Bunge maalumu chini ya Profesa Mahalu. Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya semina imayoendelea sasa na nimevutiwa sana na uwezo wake Mhe Lissu katika kutoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali.
mwenyekiti wa kamati hiyo Pro. Mahalu amekuwa mara nyingi akimtumia Lissu kutoa ufafanuzi juu ya hoja nyingi za wajumbe na Lissu amekuwa akijibu bila bila jaziba,uchama,wala hasira. Tena kwa ufafanuzi wa kina.
Nimejiuliza kama hata mawaziri wetu wangekuwa nao wanatumia style hiyo katika Bunge letu jee kungekuwa na migongano? Hii imeonyesha kuwa kumbe hawa tunaoita wapinzani wanao uwezo mkubwa sana wa kuendesha shughuli za serikali tofauti na wengi wanavyodhani.
Mkuu Lunyungu,kwa hakika AG Werema angekuwa walao anatenda hata nusu tuu ya anayoyafanya Lissu sasa hivi kwa kweli ndani ya Bunge letu kungekuwa na maelewano na Bunge lingeonekana lina heshima na sura ya kitaifa. Bahati mbaya yeye kama ulivyosema ananena kwa maslahi ya aliyemtuma sio kwa weledi wa kazi yake.Lissu amejewa na uzalendo na shule yake haina mashaka . Anasema mawazo yake na anacho kiamini wengine wanasema wanayo tumwa na kusema kwa maslahi fulani ndiyo tofauti ya Lissu hiyo .
Lissu ni mjumbe wa kamati iliyoandaa kanuni za uendeshaji wa Bunge maalumu chini ya Profesa Mahalu. Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya semina imayoendelea sasa na nimevutiwa sana na uwezo wake Mhe Lissu katika kutoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali.
mwenyekiti wa kamati hiyo Pro. Mahalu amekuwa mara nyingi akimtumia Lissu kutoa ufafanuzi juu ya hoja nyingi za wajumbe na Lissu amekuwa akijibu bila bila jaziba,uchama,wala hasira. Tena kwa ufafanuzi wa kina.
Nimejiuliza kama hata mawaziri wetu wangekuwa nao wanatumia style hiyo katika Bunge letu jee kungekuwa na migongano? Hii imeonyesha kuwa kumbe hawa tunaoita wapinzani wanao uwezo mkubwa sana wa kuendesha shughuli za serikali tofauti na wengi wanavyodhani.
Tundu ni jembe sana.Tuombee tu yale "mashetani" ya Ufipa yasituharibie jembe letu maana wameshaanza!!
Hapa utawadanganya misukule wenzio, So far, sijaona uwezo wala uzalendo wa Lissu, yule ni mropokaji tu kama CHADEMA wengine.Lissu ni mjumbe wa kamati iliyoandaa kanuni za uendeshaji wa Bunge maalumu chini ya Profesa Mahalu. Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya semina imayoendelea sasa na nimevutiwa sana na uwezo wake Mhe Lissu katika kutoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali.
mwenyekiti wa kamati hiyo Pro. Mahalu amekuwa mara nyingi akimtumia Lissu kutoa ufafanuzi juu ya hoja nyingi za wajumbe na Lissu amekuwa akijibu bila bila jaziba,uchama,wala hasira. Tena kwa ufafanuzi wa kina.
Nimejiuliza kama hata mawaziri wetu wangekuwa nao wanatumia style hiyo katika Bunge letu jee kungekuwa na migongano? Hii imeonyesha kuwa kumbe hawa tunaoita wapinzani wanao uwezo mkubwa sana wa kuendesha shughuli za serikali tofauti na wengi wanavyodhani.
Tundu ni jembe
sana.Tuombee tu yale "mashetani" ya Ufipa yasituharibie jembe letu maana
wameshaanza!!
Tumekuzoea wewe! Hoja huna ila una huba iliyopitiliza kwa CCM. Hufatilii hata hayo majadiliano huko Bungeni maana usingesema hivyo. Wenzako walioko huko wametamka kuwa wanakubaliana naye katika fafanuzi nyingi anazotoa ila wewe kwa vile unalipwa ili upinge basi hata ukiambiwa pinga wewe sio MSALANI basi utapinga tuu. PoleHapa utawadanganya misukule wenzio, So far, sijaona uwezo wala uzalendo wa Lissu, yule ni mropokaji tu kama CHADEMA wengine.
Ktk bunge hili kuna majembe ya uhakika kuliko hata Lissu, sema lisu kwa kuwa amepata fursa ya kuomgea mara kwa mara. Lkn ktk bunge hili kuna wajuzi na weledi walio bobea sana subiri vikao vya kujadili rasimu ya katiba kiianze
Kamanda unatumia zile reference za Yericko au?Hata Zito ni jembe sema tu shingoni ana price tag