Yanayoendelea Tanzania yanafurahisha sana

Miguel255

Member
Joined
May 13, 2020
Posts
35
Reaction score
111
Haya yanayoendelea Tanzania kwasasa kuna muda natamani yasiishe. Vyombo vya ulinzi vinapiga kazi mpaka unasema yees walikuwa wapi muda wote?

Yaani unamkuta mwanajeshi kasimama barabarani siku nzima kudadeki na mtutu🤣🤣 kuna namna naiona kodi yangu ikiliwa kihalali. Unajua mwanzo hawa maaskari walikuwa wanakula mishahara ya bure tu. Ila sasahv wanahekaka kama mama mjamzito.

Mara wamepita na mbwa, mara mafarasi kama jumong kila muda wanakutumia sms ooh toa taarifa sijui ukiona uhalifu mara usishiliki kusambaza sijui nini🤣🤣🤣 mimi nasikia raha tu.

Unakuta wamepaki gari sehemu hakuna hata kivuli alafu mtu yupo juu ya gari jua kaliiiii kashikilia SMG kilo 6 anaibeba siku nzima🤣🤣

Poleni na hongereni sana kumbe kazi mnaieweza bwana. Hali ikiendelea hivi ndani ya mwaka mmoja hutoona polisi mwenye kitambi. Hata nafasi za kujiunga kwenye vyombo vya ulinzi na usalama zitakuwa nyingi kwasababu mtahitaji nguvu kazi ya kutosha, alafu hamtoipata kama sasa maana watu wanajua kinachoenda kuwapata *****🤣🤣

Nawasilisha
 
Kichwa ni kichekesho mno ikiwa tu hakuhusu.
Hainihusu nini sasa, labda haya mambo yaishe ila yakiendelea hivi utaona hali zitakavyobadilika. Watakuwa wanatangaza nafasi watunwataenda wachache wale wenye moyo wa kweli wa kuwa maaskari sio wanaoweka maslahi mbele. Sikuhizi wanapiga kazi ndani ya mwezi unaona kabisa kabadilika kawa mweusiiiiii🤣 JUA hilo. Walizoea kupigwa na viyoyozi tu ofiisini jioni wanakesha bar tu hahaha tena wawe wanalala kambini kabisa.
 
Huyo huyo mwanajeshi mpeleke hapo Congo, anauliwa kama mbu
Lazima yafe kama mbu , mijitu ilifata mishahara jeshini na sio uzalendo..yaan mwanajeshi analalia nyagi anaamkia balimi afu akapambane Congo ??.Lazima wampapase matako kabla ya kumla kichwa
 
Haya yanayoendelea Tanzania kwasasa kuna muda natamani yasiishe. Vyombo vya ulinzi vinapiga kazi mpaka unasema yees walikuwa wapi muda wote?

Yaani unamkuta mwanajeshi kasimama barabarani siku nzima kudadeki na mtutu🤣🤣 kuna namna naiona kodi yangu ikiliwa kihalali. Unajua mwanzo hawa maaskari walikuwa wanakula mishahara ya bure tu. Ila sasahv wanahekaka kama mama mjamzito.

Mara wamepita na mbwa, mara mafarasi kama jumong kila muda wanakutumia sms ooh toa taarifa sijui ukiona uhalifu mara usishiliki kusambaza sijui nini🤣🤣🤣 mimi nasikia raha tu.

Unakuta wamepaki gari sehemu hakuna hata kivuli alafu mtu yupo juu ya gari jua kaliiiii kashikilia SMG kilo 6 anaibeba siku nzima🤣🤣

Poleni na hongereni sana kumbe kazi mnaieweza bwana. Hali ikiendelea hivi ndani ya mwaka mmoja hutoona polisi mwenye kitambi. Hata nafasi za kujiunga kwenye vyombo vya ulinzi na usalama zitakuwa nyingi kwasababu mtahitaji nguvu kazi ya kutosha, alafu hamtoipata kama sasa maana watu wanajua kinachoenda kuwapata *****🤣🤣

Nawasilisha
Kabisa, hii inaweza kuwa njia ya kuongeza nafasi za ajira
 
Mapema sana. Wanashindana na raia mwenye mawe na rungu, congo huko watu hawachekeshi🤣🤣 mtu ana ndoo za risasi nyingi kuliko ndoo za unga
Analawitiwa kabla ya kuuawa.
Lazima yafe kama mbu , mijitu ilifata mishahara jeshini na sio uzalendo..yaan mwanajeshi analalia nyagi anaamkia balimi afu akapambane Congo ??.Lazima wampapase matako kabla ya kumla kichwa
Wakaishia kudhalilishwa na kagame 😂
 
Haya yanayoendelea Tanzania kwasasa kuna muda natamani yasiishe. Vyombo vya ulinzi vinapiga kazi mpaka unasema yees walikuwa wapi muda wote?

Yaani unamkuta mwanajeshi kasimama barabarani siku nzima kudadeki na mtutu🤣🤣 kuna namna naiona kodi yangu ikiliwa kihalali. Unajua mwanzo hawa maaskari walikuwa wanakula mishahara ya bure tu. Ila sasahv wanahekaka kama mama mjamzito.

Mara wamepita na mbwa, mara mafarasi kama jumong kila muda wanakutumia sms ooh toa taarifa sijui ukiona uhalifu mara usishiliki kusambaza sijui nini🤣🤣🤣 mimi nasikia raha tu.

Unakuta wamepaki gari sehemu hakuna hata kivuli alafu mtu yupo juu ya gari jua kaliiiii kashikilia SMG kilo 6 anaibeba siku nzima🤣🤣

Poleni na hongereni sana kumbe kazi mnaieweza bwana. Hali ikiendelea hivi ndani ya mwaka mmoja hutoona polisi mwenye kitambi. Hata nafasi za kujiunga kwenye vyombo vya ulinzi na usalama zitakuwa nyingi kwasababu mtahitaji nguvu kazi ya kutosha, alafu hamtoipata kama sasa maana watu wanajua kinachoenda kuwapata *****🤣🤣

Nawasilisha
Ikitokea hiyo kesho hayajafanyika, basi wao ndiyo watakuwa wamefanikisha hilo zoezi la kuandamana kwa 100%.
 
Ila sijui hata wanalinda nini. Wapo jirani na kwangu hapa kila nikipita wamekaa kwenye kamti wanachati tu. Sijawahi hata kukuta wanakagua gari au mtu
 
Yaani kiufupi wamelishusha gwanda la jeshi thamani. Zamani ulikuwa ukiona gari la jeshi mtaani au uone tu wanajeshi wawili wameongozana unastuka unajua leo kuna jambo au panaenda kuchimbika. Ila sasahv wanapigwa na jua, yanazagaa tu mtaani kama senene yaan wamekuwa bure kabisa. Eti mwanajeshi anasimama round about kuongoza magari, seriously? Hata ile heshima ya kuwa mwanajeshi inashuka ukweli usemwe.

Jeshi la sasa sio la miaka 10 nyuma, ile heshima haipo tena. Sidhan kama kuna mwanajeshi anajivunia kuwa mwanajeshi kama ilivyo zaman
 
Wanazurula km wehuu
huku kwetu wanapandwa na ng'ombe eh sory wanapanda punda
wanakesha juani hawa viazi pimbi pumpkin heads mpk unawaonea huruma aisee

NA BADO!
 
Back
Top Bottom