Yanayoendelea Ngorongoro yasipodhibitiwa yaweza kuzua maafa

Hata sijui kwanini Serikali inatumia nguvu kubwa kiasi hiki kuwaondoa Wamasai, ni kwamba haiwezekani kufanya mazungumzo ya amani?

Taarifa zinaonyesha kwamba Wananchi wameshika mishale na wako Tayari kwa lolote. Je huku ndiko tunataka kwenda?
JamiiForums1308870385.jpg
 
Hata sijui kwanini Serikali inatumia nguvu kubwa kiasi hiki kuwaondoa Wamasai, ni kwamba haiwezekani kufanya mazungumzo ya amani?

Taarifa zinaonyesha kwamba Wananchi wameshika mishale na wako Tayari kwa lolote. Je huku ndiko tunataka kwenda?
Mkuu Erythrocyte, hii mada yako imenifikirisha kwelikweli hadi nikawa na maswali kadhaa, lakini swali ambalo ningependa kupata msaada wa wachangiaji wako au hata wewe mwenyewe ni hili moja:

Je, huu mpango wa kuwahamisha wakazi wa Ngorongoro umeanza lini? Hili ni jambo kubwa sana, haliwezi kufikiriwa na kufanyika kwa pupa kwa mara moja.

Je, hili swala lilikuwepo serikalini likisubiri kutekelezwa tu; kwamba Samia alipoingia akaona alitekeleze, au kalianzisha yeye mwenyewe na harakaharaka, kwa sababu zake akaona alitekeleze?
 
Kwamba Serikali ipeleke Jeshi kuua raia wake?
Sasa kama huyo raia mkorofi, anarusha mishale ndio achekewe tu. Wamasai wasichekewe hao watu hawajitambui ndio maana hadi leo wanjizonga mashuka tu.
 
Hili swala nalifananisha na la kipindi kile cha gesi ya 'Ntwara', watanzania tuliaminishwa kuwa Wamakonde wanatucheleweshea maendeleo kwa kufanya kama wanachokifanya leo hii wamasai. Matokeo yake gesi ikaja kutaifishwa kwa maslai ya watu binafsi.
Hayati Magufuli akatuambia ukweli mchungu kwamba gas sio yetu,
Ngonjera za uchumi wa gas zikaishia hewani,
Ingekuwa China kuna watu wangenyongwa lakini sisi tunawaita waheshimiwa
 
Mkuu Erythrocyte, hii mada yako imenifikirisha kwelikweli hadi nikawa na maswali kadhaa, lakini swali ambalo ningependa kupata msaada wa wachangiaji wako au hata wewe mwenyewe ni hili moja:

Je, huu mpango wa kuwahamisha wakazi wa Ngorongoro umeanza lini? Hili ni jambo kubwa sana, haliwezi kufikiriwa na kufanyika kwa pupa kwa mara moja.

Je, hili swala lilikuwepo serikalini likisubiri kutekelezwa tu; kwamba Samia alipoingia akaona alitekeleze, au kalianzisha yeye mwenyewe na harakaharaka, kwa sababu zake akaona alitekeleze?
Labda tuanze sasa kuchunguza na kufukua huko na huko ili tuelewe hili jambo lilikoanzia , Japo Tundu Lissu anasema lilianza hasa 1992 , isipokuwa kila kiongozi anayekuja analiendeleza kivyake kwa kiwango anachoona kinafaa
 
Hata sijui kwanini Serikali inatumia nguvu kubwa kiasi hiki kuwaondoa Wamasai, ni kwamba haiwezekani kufanya mazungumzo ya amani?

Taarifa zinaonyesha kwamba Wananchi wameshika mishale na wako Tayari kwa lolote. Je huku ndiko tunataka kwenda?
Waambieni hao wananchi waache utoto
 
Nyie ndio huwa mnakuja na story za kijiweni nenda ujifunze tamaduni za wamasai vizuri kuishi na wanyama pori miaka na miaka kama huwa wanakula nyama pori. Ndio uje utoe comment
Wamasai hawali nyama pori ! Hata samaki hawali pia !
 
Hata sijui kwanini Serikali inatumia nguvu kubwa kiasi hiki kuwaondoa Wamasai, ni kwamba haiwezekani kufanya mazungumzo ya amani?

Taarifa zinaonyesha kwamba Wananchi wameshika mishale na wako Tayari kwa lolote. Je huku ndiko tunataka kwenda?
Hawa masai na NGOS zao ni wakufurusha tu haiwezekani nchi moja wamasai tu ndo wadekezwe kumiliki eti ardhi yao. Mugumu Serengeti watu walihamishwa na kuchomewa nyumba na baba yake sabaya akiwa DC kijiji Nyamuma. Ila watu hawa waliondoka hifadhini kwa machungu. Leo Maasai anajiona bora sana.
 
Labda tuanze sasa kuchunguza na kufukua huko na huko ili tuelewe hili jambo lilikoanzia , Japo Tundu Lissu anasema lilianza hasa 1992 , isipokuwa kila kiongozi anayekuja analiendeleza kivyake kwa kiwango anachoona kinafaa
Kwa hiyo hii ni kama Dodoma kwa Magufuli, kama ilivyo kwa Samia sasa na Ngorongoro?

Nimeona picha hapo za watu walioumizwa. Kama ni kweli imekuwa hivyo sasa, ni muhimu CHADEMA na wao wakachukua somo hapa juu ya maridhiano/maafikiano kati yao na Samia na CCM yake.

Mtu huyo huyo hawezi kuwa mpenda maafikiano upande mmoja, na hapo hapo akaona maguvu ni bora zaidi kutumika upande mwingine katika muda ule ule.

Nakumbuka paliwahi kuwepo na swala kama hili maeneo ya huko huko lililowahusu Wahadzabe, sijui wao liliishia vipi?
 
Back
Top Bottom