Yanayoendelea nchini na msemo wa 'ukimfukuza sana mjusi anageuka kuwa nyoka'.

FrediusSnowden

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
269
224
Nakumbuka msemo huu wa "UKIMKIMBIZA SANA MJUSI HUGEUKA KUWA NYOKA" na mambo ambayo yanaendelea hapa Bongo ni wazi pengine unashabihiana kwa namna fulani hivi.. Nakumbuka kipindi fulani nikiwa shuleni mwalimu wangu alipata kutuambia darasani, "..nyie vijana wa leo ni kizazi cha mjusi, hamjui mbilinge na mitikasi ya hii maisha...mnategemea sana mwanga wa taa kuweza kuwinda..". Mwisho wa kunukuu.

Nitaendelea...
 
Mmmmmh sijui uwezo wangu wa kufukili in mdogo au ndoi dish limeleta mafunye sielewi
 
Back
Top Bottom