Yanayoendelea maofisini kwa wake za watu ni balaa!

Yanayoendelea maofisini kwa wake za watu ni balaa!

Mnyerede

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2016
Posts
213
Reaction score
235
Wanabodi,

Kama umeoa au umeolewa na mume au mke wako upo naye mbali kikazi basi unatakiwa usali sana, maana mambo yanayoendelea katika ofisi nyingi miongoni mwa wafanyakazi ni balaa. Kuna wafanyakazi wenzetu katika ofisi moja wenye jinsia ya kike na wameolewa halafu dizaini flani wanaigiza ulokole, sasa mimi ni mfanyakazi mpya kwenye ofisi hii lakini mambo yanayoendelea ni balaa tupu.

Nimeamini kuwa wafanyakazi wengi wanajiuzaa kuliko hata machangudoa, wadada wa hapa wanauza papuchi kama hawana akili nzuri kwa dau la tsh. 100,000 unamkatia chake ndio mnaenda kuduu.

Mmoja amedata na penzi la staff wa hapahapa hadi kufikia hatua ya kupachikwa ujauzito na jamaa, mume wake ameugomea ujauzito huo na hali ni tete.

Hivyo basi ushauri: Kama wewe ni mwanamke au mwanaume upo mbali na mwenza wako fanya utaratibu muwe pamoja, hata kama ana msimamo sana lakini nguvu ya ushawishi ni kubwa sana. Chukua hatua.
 
Yaani ni mgeni ofisini na ushaanza umbea?

Nadhani unazungumzia watu wasiojitambua...kama mtu ni mhuni haijalishi yupo karibu na mwenza wake au mbali atafanya tu uhuni.

Mtu anajiuza kwa laki 1 anakupa
mzigo ngumu hiyo tusidanganyane!!....kutembea baina ya wafanyakazi hiyo ipo lakini kujiuza kwa dau mmmh uongo.
 
Watu wanavyodai kazi ni ngumu kupata siku hizi unapataje kazi alafu unabadili ili kuwa karibu na mume/mke?

Msaliti msaliti tu hata ukimuweka mfukoni atasaliti hata kwa chance ndogo atakayoipata
 
Yaani ni mgeni ofisini na ushaanza umbea?

Nadhani unazungumzia watu wasiojitambua...kama mtu ni mhuni haijalishi yupo karibu na mwenza wake au mbali atafanya tu uhuni.

Mtu anajiuza kwa laki 1 anakupa
mzigo ngumu hiyo tusidanganyane!!....kutembea baina ya wafanyakazi hiyo ipo lakini kujiuza kwa dau mmmh uongo.
Usibishe,makampuni mengi siku hizi wadada na wake za watu ndo machangudoa wa makampuni,ni kugegedwa tu kwa makubaliano ya kuweka dau..!!
 
Mambo mengne yanaweza yakakufanya hata usitaman kwenda hata likizo na kufanya kaz overtime bila malipo
 
Na ukichanganya ni vile vimavazi vya kimitego,lazima tuwabanjue vizuri.
 
Yaani ni mgeni ofisini na ushaanza umbea?

Nadhani unazungumzia watu wasiojitambua...kama mtu ni mhuni haijalishi yupo karibu na mwenza wake au mbali atafanya tu uhuni.

Mtu anajiuza kwa laki 1 anakupa
mzigo ngumu hiyo tusidanganyane!!....kutembea baina ya wafanyakazi hiyo ipo lakini kujiuza kwa dau mmmh uongo.
Kwa hiyo we unagawa bure mkuu manake inaonekana ni miongoni mwa wanaojiuza.
 
Back
Top Bottom